Search results

  1. A

    Kesi ya uchaguzi Kilwa kusini ni full kuchakachua

    Kesi ya uchaguzi inayo endelea hapa kilwa imesogezwa mbele tena hadi tarehe 19mwezi huu,inanyo onyesha ccm wamefanya mambo yetu yaleee ili uchaguzi urudiwe tena wampokonye mbunge wa upinzni alie shinda kwenye uchaguzi kiti cha ubunge
  2. A

    Wavua Gamba wanapita walipo poteza majimbo

    Wavua magamba wanapita sehemu zote hasa ccm ilipo poteza majimbo hasa wakati huu ambao wabunge wapo mjengoni ili kutengeneza mazingira yakuponda wabunge walio pita kwenye uchaguzi kwa tiketi ya upinzani na wao wajioshe na kulaghai wananchi wawachague msimu ujao na hii ndio kazi anayo ifanya...
  3. A

    Mbunge wa kilwa kusini anaonewa kwasababu hana elimu

    Nape Nnauye ameenda kilwa kusini na kumtukana sana mbunge wao bwana Suleiman Bungala maarufu ***** na kumwambia kuwa ccm wana dola hivyo wata hakikisha wanampokonya kiti kwa sababu yeye ni CUF, jamani kwani kampeni si zilisha malizika? sasa huu ni ubabe au?ccm ubabe sio mzuri banaaa
Back
Top Bottom