Wavua Gamba wanapita walipo poteza majimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wavua Gamba wanapita walipo poteza majimbo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ajabu, Jul 17, 2011.

 1. a

  ajabu Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wavua magamba wanapita sehemu zote hasa ccm ilipo poteza majimbo hasa wakati huu ambao wabunge wapo mjengoni ili kutengeneza mazingira yakuponda wabunge walio pita kwenye uchaguzi kwa tiketi ya upinzani na wao wajioshe na kulaghai wananchi wawachague msimu ujao na hii ndio kazi anayo ifanya bwana Nape Nnauye na timu yake,na zaidi anaogea uongo mwingi saaaana mfano kaenda kilwa na kusema mbunge wa kilwa ananunua ufuta, huu ni uongo mkubwa sana Tanzania amka mwambie na mwingine ili zoezi lao lifikie kwenye kkufa kabisa
   
Loading...