Mbunge wa kilwa kusini anaonewa kwasababu hana elimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa kilwa kusini anaonewa kwasababu hana elimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ajabu, Jul 17, 2011.

 1. a

  ajabu Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nape Nnauye ameenda kilwa kusini na kumtukana sana mbunge wao bwana Suleiman Bungala maarufu ***** na kumwambia kuwa ccm wana dola hivyo wata hakikisha wanampokonya kiti kwa sababu yeye ni CUF, jamani kwani kampeni si zilisha malizika? sasa huu ni ubabe au?ccm ubabe sio mzuri banaaa
   
Loading...