Search results

  1. N

    TUCTA, ipelekeni serikalini mahakamani kwa kutotoa annual increment kwa watumishi wa umma

    Pole sana ndugu. Najua kwa sasa hakuna mtetezi, na hakuna namna ya kuishinikiza serikali. Woga na nidhamu ya kinafiki imetamalaki. Ila kuna pa kuanzia, nilitegemea wimbi LA watumishi kujitoa kwenye hivi vyama vya wafanyakazi katika speed ya hatari. Hilo litakuwa na faida nyingi. 1) automatically...
  2. N

    Hivi Rais Magufuli ametingwa sana kuliko wenzake wote wa nchi za SADC?

    Ushauri mzuri sana. I hope bila ubishi, kiburi na kujitweza washauri wake wauzingatie.
  3. N

    Iwe gawio au maduhuli, kama siyo Rais Magufuli tungejuaje?

    TBS na TANROADS lengo LA faida kwa mwaka inakuwa sh ngapi??. Kama wanatengeneza faida why kila mwaka wanatengewa budget ya maendeleo kutoka mfuko mkuu??. Why wasitoe huko huko wanakopata hiyo faida??. Why wanapewa ruzuku ya mishahara wasijiendeshe wenyewe???. Yaani uwe na duka linazalisha faida...
  4. N

    Zitto, acha Ubishi wa Kijinga... Sikiliza anachosema Rais. Yeye ndo anajua

    Msema ukweli mpenzi wa mungu. Mlioisoma awali bila kuelewa mkaja na mijitusi ; basi mrudi kushukuru kueleweshwa na wanaoelewa haraka, pia mwombe radhi. Andiko kama hili na Ya Pascal kama huwa hamyaelewi sifikiri kama hiyo hesabu mliambulia hata D. Itakuwa ni FFF kwa kwenda mbele. Na vikatuni...
  5. N

    Rais Magufuli kupokea mabilioni kama Gawio kutoka Taasisi, Kampuni na Mashirika ya Umma 47

    Yaaah. Na uwazi huu uende kote. Kuanzia mikataba ya madini hata ununuzi wa ndege n.k
  6. N

    Rais Magufuli kupokea mabilioni kama Gawio kutoka Taasisi, Kampuni na Mashirika ya Umma 47

    Amemzalisha Dada yako. Hapo hajachangia ukuaji wa uchumi wa Taifa???.
  7. N

    Psychoanalysis: Je, wajua dress code ya mtu ina represent the soundness of his mind?

    Kabla ya issue ya mavazi na vetting huko tunaenda mbali; katika hali ya kawaida waziri wa ulinzi na wa mambo ya Ndani hawakutakiwa kuwa na vitambi ili wawe mfano bora kwa askari wa vyombo vyetu vya usalama. Huenda hizo colour zilizochanganywa kwenye Suti zingekuwa na mwonekano nadhifu kama...
  8. N

    Psychoanalysis: Je, wajua dress code ya mtu ina represent the soundness of his mind?

    Aaaaaaaaaah!! Mwanaume soksi za rangi nyekundu ,kijani au njano. Aaaaah!!. Kuna watu wanapiga suti vest wanaweka za rangi ya purple zinajitokeza kwa juu.
  9. N

    Nini hatma ya waajiriwa wa mifuko ya Hifadhi ya jamii baada ya mifuko hiyo kuunganishwa?

    Wa Wenye ajira za kudumu watahamishiwa sehemu/sekta/ taasisi nyingine zenye upungufu wa taaluma husika. Kama ni mwanasheria aweza pelekwa kwenye halmashauri, kama ni Mhasibu aweza amishiwa wizara yoyote au taasisi yoyote n.k. Kuna ambao wataamua kustaafu at 55 years, kuna wachache utumishi...
  10. N

    Huyu ndiye daktari aliyejichoma sindano ya UKIMWI ili kuthibitisha kuwa UKIMWI ni uongo!

    Imani yangu ni kuwa mtazamo wa wachangiaji kuhusu VVU/UKIMWI ni tofauti na walivyoandika. Wanatania. Vinginevyo tuna safari ndefu sana katika mapambano haya.
  11. N

    Kwa hali hii, tutarajie umwagikaji wa damu uchaguzi wa 2020, pale dola, serikali na CCM kulazimisha kushinda

    Zamani kabla games za soccer za kiafrika hazionyeshwi live, tuliamin visingizio vya kuwa teams za Tz zinaonewa/ kufanyiwa figisu na waarabu. Kwa hiyo tulisikiliza na kuamin malalamiko yao. Ila wote sasa tunajua ukweli. Huwezi amin bila Runinga hata yanga waliyopigwa Jana wangesema ni figisu...
  12. N

    Kimenuka: Serikali yawalima barua Twaweza kufuatia utafiti waliotoa. Yawapa siku 7 wajieleze kwanini wasiwajibishwe!

    What if ni kazi maalum kwa malengo maalum. Mfano kuhamisha magoli. Mjadala kuhusu TWAWEZA kulimwa barua una afya kwa serikali kuliko mjadala wa KKKT/ TEC kulimwa barua. Katika hali ya kawaida kabisa nyakati hizi sikutegemea Twaweza watoe matokeo ya hivi, na yajadiliwe wazi vile, watu watoe...
  13. N

    JIJINI DODOMA : Viwanja vya kula bata na 'totozi' ni balaa…

    Bila kusahau Kisasa Capetown Lounge!!
  14. N

    Vijana ambao ndoto zao kisiasa ziliishia njiani ghafla

    Wale former MPs wawili bunge lililopita kutoka kigoma kupitia NCCR- Mageuzi. Yaani hadi majina nimeyasahau.
  15. N

    Kuanguka kwa Mwigulu na Nape kunatufundisha nini?

    Mpaka Leo ukiniuliza ni kitu gani hasa cha maana, kinachoishi, kinachoonekana, kilichoandikwa au kubadilisha maisha ya watu kutokana na kile hawa wawili wamewahi kufanya au wanafanya hata kikawapa umaarufu au vyeo walivyonavyo sikijui/ sikioni. Walibebwa bebwa tu. Rose from no where, na...
  16. N

    Mwigulu Nchemba ni vyema uchutame, sasa hivi utadaiwa vyeti halisi

    Unatumia kipimo gani mkuu. Kiburi cha NMN na majivuno level nyingine. Kitakuwa kwenye tones while cha Madelu ni kilo moja. Wale walikuwa wanasympathize na clouds + wanaomchukia aliyevamia sio kwamba walikuwa na NMN katika majonzi.
  17. N

    Nachukia kuchomwa sindano kwa ajili ya matibabu

    Usijali njia zipo nyingi za wewe kupata dawa. Ikishindikana kwa sindano ya kawaida utawekewa kwa njia ya Puru. Nayo hutumika, na dawa hufika mwilini na kufanya haraka kuliko njia ya kumeza.
  18. N

    Tatizo la ajali Mbeya haliwezi kumalizwa na Polisi pekee, washirikisheni Wazee

    Sababu kuu za ajali barabarani ni; Ubovu na ubora hafifu wa miundo ya Barabara. Uzembe na ulimbukeni wa drivers. Matumizi mabaya ya barabara ( kupitisha mifugo). Ulevi, magonjwa(Mf. kifafa na uono hafifu) na kusinzia kwa drivers kutokana na uchovu na kutopumzika vya kutosha au unene...
  19. N

    Tatizo la ajali Mbeya haliwezi kumalizwa na Polisi pekee, washirikisheni Wazee

    Damu ya kichwani huwa inatokea au kutengenezwa wapi kiasi kwamba iwe tofauti na za sehemu nyingine???. Kwamba ni so special , tofauti hata kuhitajika kwa shughuli maalum??. Bro Damu inayopita kalioni mwako muda huu, within less than five minutes inaweza kuwa kichwani mwako.
Back
Top Bottom