Search results

  1. N

    Nisaidien Jamani!!!

    haaaah haaah Bi kiroboto, sura kama shetani!
  2. N

    Mwenyekiti tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) astaafu

    teh teh Mkuu punguza hasira bana
  3. N

    Mwenyekiti tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) astaafu

    Mkuu anaeteua ni Jakaya ****** we unategemea nini hapo?!
  4. N

    Kutoka Bungeni Dodoma: Julai 18, 2011

    teh teh mkuu bt huyu juz alikua akiwasifia magamba, mm simuamin kabisaaa
  5. N

    Mwenyekiti tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) astaafu

    Mkuu labda kwa kiravu but kwa Chairman kwa mujibu wa katiba lazima chairmain awe Jaji tena Jaji haswa yani wa mahakama ya rufaa, nafikiri taratibu za hao watu kupata nafasi.
  6. N

    Mwenyekiti tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) astaafu

    mkuu kwa sasa ni mzee sana cdhani kama atapewa nafasi tena duh!
  7. N

    Mwenyekiti tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) astaafu

    kweli mkuu, is just a matter of time
  8. N

    Mkutano wa CCM Mbeya

    hao ni mamluki ccj hawana jipya, wanafiki tu
  9. N

    Mwenyekiti tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) astaafu

    alistaafu ujaji akawa yupo NEC na sasa kastaafu u-Chairman NEC, hope umenielewa
  10. N

    Mwenyekiti tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) astaafu

    Wana Jf.Taarifa nilizozipata hivi leo ni kuwa Mwenyekiti Tume ya Taifa ya uchaguzi Jaji Mstaafu Lewis Makame amestaafu kushikilia wadhifa huo.Mwenyekiti huyo amestaafu rasmi tangu tar 14/6 lakini kwa sasa bado haijatangazwa in public kwa kuwa anasubiri kukabidhi ofisi rasmi mara tu bada ya mtu...
  11. N

    Pendekezo: Prof. Lipumba awe mgombea wa upinzani Igunga

    teh teh teh MASALIA upoo?dah mpe hi! zitto mwambie akileta pepe ataungana na Kafulila
  12. N

    Count down on Mzee wa Monduli

    mkuu m 13, kwa mwalimu au nesi hizo unazisotea miaka 10 bila kula hata senti ktk mshahara wako ndio unazipata!
  13. N

    Bunge livunjwe kwa sababu limejaa wahuni - Ole Sendeka

    huyu mama kimeo, ndo maana hana mume
  14. N

    Mke wa Dr Slaa avamiwa na majambazi

    Mkuu imawezekana ni kweli, mana jamaa ana uchungu wa kujivua gamba!teh teh
  15. N

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Haaaah haaah eti amejiita mfanyabiashara wa kimataifa! Labda kama amemaanisha 'mwizi wa kimataifa''
Back
Top Bottom