Mwenyekiti tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) astaafu

New_hope

Member
Jul 13, 2011
20
3
Wana Jf.Taarifa nilizozipata hivi leo ni kuwa Mwenyekiti Tume ya Taifa ya uchaguzi Jaji Mstaafu Lewis Makame amestaafu kushikilia wadhifa huo.Mwenyekiti huyo amestaafu rasmi tangu tar 14/6 lakini kwa sasa bado haijatangazwa in public kwa kuwa anasubiri kukabidhi ofisi rasmi mara tu bada ya mtu mwengine kuteuliwa kushika wadhifa huo.Taarifa zinasema mwenyekiti huyo ilikua astaafu tangu mwaka nov 2004 lakini aliombwa na aliyekuwa Rais Ben Mkapa aendelee kushikilia nafasi hiyo kwa sababu kulikua na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata jimbo ambalo lilihitaji mtu mwenye uzoefu.Mwaka 2009 alitaka kuachia ngazi tena akidai uzee umeshamchukua lakini Rais Kikwete alimuomba tena mzee huyu abaki Nec ili kusimamia uchaguzi mkuu uliopita mwaka jana ambao Rais Kikwete alishinda kwa mbinde.Mzee huyu ni mwenyekiti wa kwanza wa tume ya uchaguzi Tanzania jambo linalomfanya atumike sana kwa ushauri katika uchaguz wa nchi jirani kama Congo, Zimbabwe n.ksource: Chanzo Makini
 
Inaonekana alikuwa kinara wa kuwezesha kupoka upinzani ushindi, maana walimng'ang'ania saaana
 
Wana Jf.Taarifa nilizozipata hivi leo ni kuwa Mwenyekiti Tume ya Taifa ya uchaguzi Jaji Mstaafu Lewis Makame amestaafu kushikilia wadhifa huo.Mwenyekiti huyo amestaafu rasmi tangu tar 14/6 lakini kwa sasa bado haijatangazwa in public kwa kuwa anasubiri kukabidhi ofisi rasmi mara tu bada ya mtu mwengine kuteuliwa kushika wadhifa huo.Taarifa zinasema mwenyekiti huyo ilikua astaafu tangu mwaka nov 2004 lakini aliombwa na aliyekuwa Rais Ben Mkapa aendelee kushikilia nafasi hiyo kwa sababu kulikua na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata jimbo ambalo lilihitaji mtu mwenye uzoefu.Mwaka 2009 alitaka kuachia ngazi tena akidai uzee umeshamchukua lakini Rais Kikwete alimuomba tena mzee huyu abaki Nec ili kusimamia uchaguzi mkuu uliopita mwaka jana ambao Rais Kikwete alishinda kwa mbindeMzee huyu ni mwenyekiti wa kwanza wa tume ya uchaguzi Tanzania jambo linalomfanya atumike sana kwa ushauri katika uchaguz wa nchi jirani kama Congo, Zimbabwe n.ksource: Chanzo Makini

Acha aende zake mchakachuaji mkubwa huyo.
 
Tume sasa apewe mtu tu kukaimu kwa muda maana tunataka ibadilishwe muundo wake kabla ya 2015.
 
Mstaafu ana staafu tena!halafu atapewa ukurugenzi wa bodi fulani ili aendelee kupata posho
 
Wana Jf.Taarifa nilizozipata hivi leo ni kuwa Mwenyekiti Tume ya Taifa ya uchaguzi Jaji Mstaafu Lewis Makame amestaafu kushikilia wadhifa huo.Mwenyekiti huyo amestaafu rasmi tangu tar 14/6 lakini kwa sasa bado haijatangazwa in public kwa kuwa anasubiri kukabidhi ofisi rasmi mara tu bada ya mtu mwengine kuteuliwa kushika wadhifa huo.Taarifa zinasema mwenyekiti huyo ilikua astaafu tangu mwaka nov 2004 lakini aliombwa na aliyekuwa Rais Ben Mkapa aendelee kushikilia nafasi hiyo kwa sababu kulikua na uchaguzi mkuu mwaka unaofuata jimbo ambalo lilihitaji mtu mwenye uzoefu.Mwaka 2009 alitaka kuachia ngazi tena akidai uzee umeshamchukua lakini Rais Kikwete alimuomba tena mzee huyu abaki Nec ili kusimamia uchaguzi mkuu uliopita mwaka jana ambao Rais Kikwete alishinda kwa mbinde.Mzee huyu ni mwenyekiti wa kwanza wa tume ya uchaguzi Tanzania jambo linalomfanya atumike sana kwa ushauri katika uchaguz wa nchi jirani kama Congo, Zimbabwe n.ksource: Chanzo Makini

Daah afadhali huyu mzee ameondoka ndio maana Zimbabwe kuna matatizo kumbe ndio yeye aliyoenda kumsaidia Mugabe? Sasa Demokrasia itakuwa hapa nchini, haya atoke zake na tuwe huru
 
Yule Kihongwe mwingine KIRAVU... bado yupo? Nakumbuka lile sauti lake DOVUTWA YAHMI DOVUTWA Kura 4 sawa na asilimia 0.009,MZIRAY PETER KUGA Kura 7 sawa na asilimia 0.018 yaaani Kipindi kile ALINIBOAJE?
 
sema kajiuzulu sio kustaafu.
He is already a retired citizen. He smelt something fishy.
 
JK atamzuia tena asistaafu mpaka Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa jimbo lililo wazi la IGUNGA utapofanyika. ili aendeleze sarakasi zake.
Subirini muone
 
Eti JAJI MSTAAFU halafu KASTAAFU! Ana kipi special cha kufanya asistaafu mapema? Au ndo UCHAKACHUZI. Damu ya Watanzania watakaokufa kutokana na upuuzi wa CCM na iwe juu yake. Let him be haunted by the demons for his bad deeds
 
afadhari! Sasa atakae mrithi taratibu itabidi zifuatwe!
Taratibu zipi? Kwa sheria ipi? Katiba yetu inampa rais madaraka ya kuchagua mtu amtakaye yeye sidhani ka kuna vigezo vinazingatiwa hata akitaka amuweke riz1 ni sawa katiba inamruhusu. Hapa ndo tunaona umuhimu wa kuwa na katiba mpya
 
Back
Top Bottom