Search results

  1. B

    c3 nokia kwa bei ya ku2pa

    nauza nokia c3 nime2mia kwa muda wa miez miwili 2,nipatie elfu 90 cash nikuachie,ni pm ka unahitaj
  2. B

    moderm za zain sh 15000 tu

    huawei e220 hsdpa usb modem zinauzwa,ni pm
  3. B

    Nauza Vifaa vya saloon ya kike

    Nauza vifaa vya saloon vya kike,vimetumika kwa muda wa miezi 5,vipo katika hali nzuri,vyakuchukua nakuanza biashara,drayer 2 moja stimmer,rolaz,vitana,viti vitatu vyakisasa,tray kubwa la kuhifadhia rolaz,mafuta,dawa na vitana....bei milion 1.5,dhumuni la kuuza,sina mwangaliz wa kusimamia mana...
  4. B

    Kutoka na usaha kwenye uume

    Jamani naomba msaada wenu, natokwa na usaha kwenye uume wangu, na hii imenitokea toka juzi. Ilianza siku mbili baada ya kufanya mapenzi na msichana mmoja hivi,nataka kujua ni ugonjwa gani huu, pia nijue nitaponaje. Doctors nahitaji msaada.
  5. B

    Sungura

    Anayefuga sungura atujuze jaman,nataka kufuga sungura lakin ningependa kujua jins yakuwafuga na kuepusha kupata magonja
  6. B

    Guitar guitar

    Classical guitar jipya kwa sh 80000,nichek kwa namba 0655674747
Back
Top Bottom