Search results

  1. Z

    Watanganyika ndio Wazenji halisi

    Yaani akipatika Rais aliye jasiri genius Serikali moja. Umoja ni nguvu.
  2. Z

    Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    Dr.John Magufuli anazidi Mwl.Baba wa taifa JKN kwasababu Ndani ya JPM kulikuwa ndoto za Nyerere. Pia JPM aliwapenda sana watu hasa masikini.Pia alikuja kwaajiri ya kuiokoa Tanzania na Dunia kutupa mbinu ya kupamba na matatizo kama corona ,dunia mzima walianza kutumia mbinu ya JPM. Iliwa ni...
  3. Z

    Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Naunga mkono hoja serikali moja ndio jibu. Ila serikali 2 or 3 ni Tamaa na uchu wa madaraka, ili ushangilie serikali 2 or 3 lazima ujitoe ufahamu na akili
  4. Z

    Kumbe Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni ukoloni wa mtu mweusi kwa mweusi mwenzake na hofu ya Uislam ?

    Muunguno kwaajiri usalama wa bara ,haihitaji elimu ya darasala 7 kuelewa hili. Nje ya muungano hakuna kitu kinaitwa Zanzibar bali Kuna Pemba na Unguja. Mhuni yeyote akitaka kuvunja muungano .atasababisha Tanganyika kujigawa pwani,kaskazini, .neno Tanzania litakufa nchi itagawanyika so kuvunja...
  5. Z

    Kwanini vyombo vya magharibi ikiwemo Ufaransa vinalalamika kukamatwa kwa wanajeshi wa M23 Tanzania? Wananufaikaje na mgogoro wa Congo?

    Ivi wewe mwandishi umeandika Nini sasa .yaani unataka useme watanzania wote tunafurahia ukiukaji haki za binadamu.nikuuze huyo muasi amekatwa DRC au Tanzania.je sisi Tz tumetangaza vita na M23.kama sio .basi tumekiuka Sheria za kivita na haki za binadam.Afalu makosa ya M23.hayatupi garantii ya...
  6. Z

    Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

    Anauliza swali hajakukubali so kimbia spy
  7. Z

    John Mongella: Mimi ni Mtoto wa Mjini nimezaliwa Kariakoo, nawasihi vijana msitishwe na yoyote, kwenye kusaka Dola hatutabembelezana!

    Kauli za kibaguzi achaneni nazo sisi sote ni watanzania haijalishi nimezaliwa mjini au Kijijini
  8. Z

    Hoja: Kama mashirika ya Umma yanapata hasara kuna haja gani ya Kuacha yajiendeshe yenyewe?

    Sasa sisi waafrika akili yetu ndogo sana hatuwezi kuendesha mashika ya umma.labda tukodi wazungu waje watuongozee.sisi ushabiki simba na Yanga ndio tunaweza.
  9. Z

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Tatizo sio dini?Africa tuna shida ivi unachapeje mtu mzima?
  10. Z

    Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

    Acha uongo wew mtu mzima hawezi kuchapwa kwasababu za kidini alafu serikali kiademocrasia ikae kimya,. serikali yetu hawezi kufumbia macho udhaarishaaji na ubaguzi.Habari hii ya kupika
  11. Z

    Wananchi Jordan waandamana kwa nguvu wakitaka mpaka ufunguliwe waingie Palestina

    Ati kwa mjibu wa torati Jordan Iko ndani ya Israel ya kale (Ancient Israel). Jordan na Lebanon yote ni maeneo ya Israel
  12. Z

    Bila waajemi kuingilia kati, leo hii Syria, Lebanon, Palestina yote na sehemu kubwa ya Misri zingekuwa zimechukuliwa kwa nguvu na Israel

    Wewe sasa umeandika nini? Hujui misri ya,leo,wapalestina, waajemi, waisrael wote wazungu waarabu ni utamaduni tu.ila wote wazungu (European race,/ Caucasian)
  13. Z

    Urusi kukutana na makundi yote ya kipalestina kwa mashauriano. Ni mchakato wa kuundwa taifa huru la Palestina

    Taifa moja ndio jibu sasa. UN, US, China wasikuone sis mazuzu.suluhu one state
  14. Z

    Tatizo la Netanyahu ni zawadi kwa Hamas

    Kwann isiwe taifa moja Nchi moja. Suluhu ni taifa moja ili nchi ya palestina au Israel mataifa mawawili vita hatakuja isha. Naona Rais wa USA Biden wazo la mataifa 2 ni kuomba kura wa waislaam.UK,EU wana taka mataifa 2 ili wapate ushawishi kuendelea kuchota Mafuta nchi za Waislam. UN na wazo...
  15. Z

    Watanzania wengi hawasomi Katiba ndio maana wanashangaa CCM kumpa maagizo Waziri Mkuu

    We Uenezi maana yake nini?, na msemagi nina?.shida wa afrika kutafsiri kila mtu anatafsiri kivyake?.. ila nikuambie huyo Waziri Mkuu na Paul makonda wakiwa nje ya CCM ni sawa na Samaki nje ya maji. Pia kwenye dunia ya kidemocrasia Makonda yuko sahihi sana
  16. Z

    Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Wew mwandishi uwezo wako mdogo sana, Paul makonda yuko sahihi. Wew ndio umekalili uzembe wa watangulizi wake,CCM ndio mwajiri wa Rais hakuna mtu mkubwa zaidi ya CCM
  17. Z

    Christian Countries hakuna masikini, kwanini?

    Anamaanisha Nchi ambazo zina mfumo ya kikisto. Ili uwe kiongozi lazima uwe mkisto au neutral si dini zingine.
  18. Z

    Kwa kadi ya Makonda, CCM inaelekea kuvurugika!

    Protocol gani? Hakuna mtu mkubwa TZ zaidi ta CCM, je waziri mkuu anacheo gani CCM je mkubwa kuliko Paul makonda? Wew Paul makonda bosi wake ni Mwenye kiti, makalu, katibu wa CCM basi?.Uchaguzi wa Rais,wabunge. PAUL MAKONDA NI ndio wanao pendekeza wagombea mpaka Rais
Back
Top Bottom