Search results

  1. B

    Mfumo wa elimu yetu Tanzania

    Habari za leo wanajamvi, pole na majukumu ya kila siku ya kulijenga Taifa letu. Nashauri wanafunzi wasome kuanzia darasa la 1 & 6, na wafundishe masomo matatu tu. Yaani Hisabati, Sayansi na Lugha. Na wahakikishe wanapowafundisha wanafunzi mfano somo la Hisabati, wajitahidi wawe wameandaa...
  2. B

    Kuna kitu kimenichanganya juu ya mwili wangu

    Nikiri wazi mimi sio muumini wa tatoo, na sizipendi kabisa kuziona kwenye mwili wangu. Lakini cha kushangaza nimeamka asubuhi, nikawa nahisi kipele mgongoni ikabidi nijiangalie kwenye kioo, kweli kipele kilikuwepo ila kilichonishangaza nimeona kwenye bega la...
  3. B

    Msaada Tafadhali

    Mimi nina miaka 28 nina tatizo la kuwashwa kwenye magoti na hili tatizo huwa linatokea kwa vipindi. Na hivi karibun naona kama misuli ya miguu yangu inakuwa inakakamaa ila ili tatizo la kukakamaa kwa misuli limeanza kama...
Back
Top Bottom