Search results

  1. D

    Natafuta mpenzi aje kuwa mke

    yaaan umegoma hadi nimeogopa.
  2. D

    Feedback ya kumtafuta mchumba

    Mamboz, Nilitumaga ombi la kumtafuta mchumba humu JF muda mrefu kidogo, kwa experience niliyoipata wanaume wengi hawako serious. Yaani wanatuona sisi wasichana tunaoandika huu Uzi basi ni hajatulia hivi, au tu wabaya hata hatutongozwi, lakini huo mtazamo sio sahihi. Tunajitambua, ni vile tu...
  3. D

    Natafuta mchumba na hatimaye mke mwishoni.

    Kuzaliwa pwani nimekosa mume
  4. D

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Hi mamboz Naomba kupata connection,na ujuzi kuhusiana na biashara hii ya nguo za mitumba. Ni nguo gani rahisi kutoka kwa haraka,na naomba kupata connection za watu wanaouza kwa balo. Ahsateni.
  5. D

    Natafuta mchumba, nimechoka upweke

    Kotekote inawezekana naomba MUNGU. Popote akipatikana sifa na utukufu ni kwake. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    Natafuta mchumba, nimechoka upweke

    Habari zanu wapendwa, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni binti mwenye 28 yrs, elimu yangu ni Diploma, ni Mjasiliamali, naishi mkoa wa Mtwara, mkristo, Situmii kilevi, sina mtoto. Uzito wangu ni kg60 Vigezo vya ninayemuhitaji: > Awe mkristo > Elimu yake akinizidi mimi hapo itakuwa...
  7. D

    Natafuta mume Mkristu

    Tutajaza Uzi tu humu,
  8. D

    Natafuta mume Mkristu

    Ukimpata zaidi ya mmoja wenye sifa hizo nirushie Mimi mmoja mwaya maana umenisemea na mimi.
  9. D

    Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

    MUNGU NDO ANAJUA
  10. D

    Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

    Umenitia moyo ahsante
  11. D

    Karibu kwangu mke mwema

    Ili akupasie[emoji23][emoji23][emoji23] mtaani kwako na ww hujawaona? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

    Mume upo JF kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    Natafuta mke wa kuoa mwaka huu

    Morogoro kuna nini lkn mbona munatafuta Sana wanawake jf. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. D

    Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

    Sent using Jamii Forums mobile app
  15. D

    Utunzaji wa nywele za asili

    Niliwahi kusikiaga bia,na sijafanya hivyo leo nasikia soda duh, soda gani hiyo?
  16. D

    Utunzaji wa nywele za asili

    Ahsante sana my dear
  17. D

    Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

    Habarini wapendwa, , Mimi nina nywele ambazo niliweka dawa , lkn kwa sasa nahitaji nywele zangu za asili , wengi wananishauri nikate nianze upya lkn nywele zangu hazikui kwa haraka, naombeni km kuna mtu anajua njia nyingine ya kuondoa hii dawa kwenye nywele ili nibaki na za asili. AHSANTE.
  18. D

  19. D

    Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

    Sura mbaya, flat pia
  20. D

    Mwanaume uliye tayari kumpata mchumba njoo usome hapa

    Okay, mengi siyayaandika hapo pm naweza funguka mengi zaidi, lkn na kwa faida ya wengine pia Mimi nimejiajiri
Back
Top Bottom