Search results

  1. nicca frm nowhre

    Unajijua upo period unakuja ghetto kufata nini?

    Habari wadau wa MMU!! kuna tabia hua inazngua knoma kutoka kwa baadhi ya madem, hiv mtoto wa kike unawezaje kupanga safari kutoka kwenu/ kwako unaenda kwa mshkaj ukiwa Mp, unataka kugundua nn? Jana nikiwa maeneo flan ya starehe nachek football games huku nikshusha moja mbil, ghafla ikaingia txt...
  2. nicca frm nowhre

    Natafuta Samsung S8+ Duos or A50 Used

    Kama bandiko linavyojieleza natafuta s8+ used or A50 in good condition + accessories zake Njoo Pm na offer yako Location:Dar
  3. nicca frm nowhre

    Nauliza bei ya Samsung S6

    Habar wnajukwaa! natumai ni wazima wa afya! Nimekwama kdogo nna simu aina ya samsung s6 edge+ imecrack kioo, so nahitaj kuweza kujua cost ya kioo chake!! Then kuna ishu ya network nataka kuipandsha network wajuz naomben msaada kwa hil[emoji120]
  4. nicca frm nowhre

    Hii ya kuzifungia simu ambazo haziko certified imekaaje?

    Habari zenu wana jukwaa la TGSF kumekua na matangazo ya kuzifungia simu znazotumia mfumo wa android ifakapo mwsho wa mwezi huu wa march....Je kuna ukwel kwnye hili? mwenye kujua chchote plz share nami[emoji120]
Back
Top Bottom