specifications zake:
HDD ni 320GB, processor ni celeron(R) dual-core CPU T 3300 @2.00GHz, OS ni windows 7, screen ni 15.6 inch. Battery inakaa masaa 4.
Ipo katika hali nzuri,napatikana maeneo ya Dar es Salaam. Nicheki kwa +255 762 986 611
Muonekano wa laptop katika pande tofauti...
Je unatafuta "nyumba ya kupanga nzuri na ya kisasa?? Umechoka kuzungushwa na madalali??"
hii ni habari njema kwako…
· nyumba ni mpya, haijawahi kupangishwa
· ina vyumba viwili vya kulala, sebule, kibaraza, jiko na choo cha ndani.
· ina umeme
· kuna karo la...
PICHA ZAIDI.....
1. hapa zinavyoonekana kwa nje kutokea barabarani kwa upande wa kulia na kushoto.
2. hapa ni kwa muonekano ndani ya geti.
(kwenye hilo bomba ni karo la maji safi yanayojazwa na mvua kupitia mfumo maalumu wa kuyateka maji na kujaza kwenye hilo karo safi. Lina zaidi...
bei ni Tshs 200,000/= kwa mwezi kwa miezi sita.mahali ni mbezi ya kimara, unashukia kituo kinaitwa mbezi mwisho unaingia ndani km 2.5 na dala dala zipo kutokea hapo mbezi mwisho na unashukia "makabe kwa mzungu". my hope I made it so clear,ni pm kama upo interested seriously.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.