re; nyumba ya kisasa kwa wakazi wa Dsm

The wan

Member
Jul 4, 2011
37
2
Je unatafuta "nyumba ya kupanga nzuri na ya kisasa?? Umechoka kuzungushwa na madalali??"
hii ni habari njema kwako…
· nyumba ni mpya, haijawahi kupangishwa
· ina vyumba viwili vya kulala, sebule, kibaraza, jiko na choo cha ndani.
· ina umeme
· kuna karo la maji safi zaidi ya lita 10,000 ambalo hujazwa kwa maji ya mvua na kuna mfumo wa mabomba ndani kwa ajili ya kusambaza
· haiko mbali na barabara· iko ndani ya fensi, na parking ya kutosha. Usalama ni mkubwa
· paa la vigae, madirisha safi ya aluminium, sakafu ya maru maru na ceiling board ya gypsum
· nyumba ipo mbezi makabe kwa mzungu, ukishuka mbezi mwisho ukiulizia utaelekezwa
bei ni Ths laki mbili tu kwa mwezi kwa mkupuo wa miezi sita.
. Image0022.jpg Image0038.jpg Image0017.jpg
wahi sasa, kabla hujapoteza nafasi hii…..
Wasiliana na peter kwa namba +255 653 777 655 / +255 762 986 611au felician +255 784 902 397
 
Mmmmh!!!! Mbezi Makabe @ 200k x 6?

+Mafuta 25,000*30*6=4500,000 kwa mwezi jumla, kodi 200,000*6=1,200,000. 4,500,000+1200,000=5,700,000. Hiyo hailipi mkuu. naona kama inalipa ile ya Sinza ya laki2.5 kwa mwezi na mafuta 15,000*30*6=2,700,000. Jumla ni 2,700,000+1,800,000=4,500,000. Nime assume mda unaopotezwa kwenye foleni kwenda Mbezi hauna thamani yeyote.
 
Kwa mtu anayefanya shughuli zake Kimara? Siyo wote wanafanya kazi posta kama wewe kiongozi.
 
sasa naona umuhimu wa ile hoja ya Makamba kwenye upangishaji wa nyumba. nalipwa kwa mwezi natakiwa nilipie kwa miezi sita.
 
Je unatafuta "nyumba ya kupanga nzuri na ya kisasa?? Umechoka kuzungushwa na madalali??"
hii ni habari njema kwako…
· nyumba ni mpya, haijawahi kupangishwa
· ina vyumba viwili vya kulala, sebule, kibaraza, jiko na choo cha ndani.
· ina umeme
· kuna karo la maji safi zaidi ya lita 10,000 ambalo hujazwa kwa maji ya mvua na kuna mfumo wa mabomba ndani kwa ajili ya kusambaza
· haiko mbali na barabara· iko ndani ya fensi, na parking ya kutosha. Usalama ni mkubwa
· paa la vigae, madirisha safi ya aluminium, sakafu ya maru maru na ceiling board ya gypsum
· nyumba ipo mbezi makabe kwa mzungu, ukishuka mbezi mwisho ukiulizia utaelekezwa
bei ni Ths laki mbili tu kwa mwezi kwa mkupuo wa miezi sita.
. View attachment 50473 View attachment 50475 View attachment 50476
wahi sasa, kabla hujapoteza nafasi hii…..
Wasiliana na peter kwa namba +255 653 777 655 / +255 762 986 611au felician +255 784 902 397

Ndugu,

Asante kwa taarifa, Nyumba ni nzuri kama bei yake kwa mwezi ilivyo poa. Kuna nyingine inayouzwa. Tafadhali!
 
sasa naona umuhimu wa ile hoja ya Makamba kwenye upangishaji wa nyumba. nalipwa kwa mwezi natakiwa nilipie kwa miezi sita.

kweli mzee, tunaoanza vi-maisha tunapata taabu sana, maximum time of rent ingekuwa only three months!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom