Search results

  1. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nilikiwa nmeshajiandaa na kuvaa viatu kw ajili ya kutoka out weekend hii ila alichokifanya south Africa nimerud chumbn na kuvua kila kitu nmebaki na boxer tu hapa kitandan acha nilale
  2. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Steve hii ni kampuni gani.?
  3. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Umetumia kampuni gani hii yenye hizo option.?
  4. The 1 tz

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Ni wachache sana waliobarikiwa talent ya kuandika story ya waliyopitia kwenye maisha yao na kutumia mda wake kukuandikia sisi humu tusome for free kwanza heshimu hilo. Pia amekupa option 3, kama una haraka na huna uvumilivu na story yake mchangie japo kdgo tu shlng elfu 3 akutumie WhatsApp...
  5. The 1 tz

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Ni bora ukaacha hizo scene za huko msikitini lakini sio hiyo kwa kweli
  6. The 1 tz

    Kaninyanyasa kijinsia nawezaje kumshtaki?

    Meza p2 ina flash kila kitu mbona unakuwa kama umekuja mjini juzi na gari za ng'ombe
  7. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Pole sana ndg yngu umepoteza hala nyingi hiyo kwa hali ya maisha ilivyo ngumu sasa hivi, trust me i feels your pain Badili aina ya uchezaji unaocheza hiyo hela ni mtaji tosha sana wa kuanzia na uli upate hela kwenye betting nidhamu ya hali ya juu sana inatakiwa na kuweka pemben tamaa ya kutaka...
  8. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Laki 238,000/= faida kwa siku ya leo Huu utakuwa mkeka wangu wa mwisho kuposti naamini kw walio nielewa kufata njia hii watakuwa wamenielewa maana nimejitahid kutoa maelezo na mifano ya kutosha Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  9. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Najaribu kuwaonyesha haya makumpuni yanaweza kupigwa kwa namna gan, sio lazma uweke kiasi kama nilichoweka mm, weka kiasi ambacho hata ukipoteza hakito kuadhiri kulingana na kipato chako Sio kama matren sichezi nacheza ila ni betpawa na spotybet na hutakiwi kuwa unatoa hela mfukon kucheza mm...
  10. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Sinimekupostia mkeka niliocheza kiasi nilichoweka na faida niliyopata au unadhani unaona vibaya.? Hujakosea kuona hiyo ni million 1 kweli na nimepata 187,000/= faida kwa single beti ya timu 1 Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  11. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Faida ya 187,000/= kwa usiksu huu sio mbaya Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  12. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kutafuta odds ya 2 ndg yng sio mchezo ni ngumu sana, unaweza kuotea siku ya kwanza ya pili chali au ya tatu kama sio ya 4, ila kutafuta odds ya 1.25 kushuka chini kwa timu 1 ni rahisi zaidi Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  13. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazo zuri na nimeshajaribua sana ila Hapo kwenye kuukuza hadi ufike 1 million ndio shughuli ilipo, unaweza kujikuta hicho kidogo kidogo unachoweka kila siku na kuliwa kikavuka hata hicho kiasi Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  14. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    . Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  15. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    . Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  16. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Habari wapambanaji wenzangu ambao mpo humu ndani, nikitambo kidogo sijabeti kutokana na ligi kuisha na kutokuwa na mtaji wa kuweka ili kupata faida kwenye betting Betting pamoja na bahati pia inataka uwe na mtaji wa kutosha ili ucheze timu chache na kuweza kupata faida Mim binafsi huwa...
  17. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Don't give up the fight wazee wa matren Kuwen moyo wa chuma chini ya 1million cash out usikubali kwa capital chini ya elfu 1 Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  18. The 1 tz

    Mtaji wa Tsh milioni 25 nifungue Hardware ndogo au duka la jumla la bidhaa za matumizi ya kila siku?

    [emoji38][emoji38][emoji38] aje na bei gan kutoka kwenye ile 25m mwambie mapema kabisa Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  19. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wishing you all the best Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  20. The 1 tz

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hebu tumpen mda atulize akili kwanza hali aliyonayo kwa hicho kiasi sisi wacheza betting wote tunaijua Naamini kabla ya siku ya leo haijaisha atatuma humu huo mkeka, hisia zangu mim zinaniambia ni kweli kashinda Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom