Jamani lazima tufahamu kuwa hizo reference ziliitwa hivyo baada ya watu kuthubutu, tukiendelea kuishi kwa reference na copying system kamwe hatutaweza kuwa huru kifikra.
andreakalima,
Kila mkoa ulipewa hadhi ya jiji kwa vigezo maalum, co majengo, huyo dereva taxi inaonyesha ulimwelekeza akupeleke hapo. Cku nyingine ukienda kwenye majiji jaribu kugoogle nice hotel kupunguza usumbufu. Ukija tena Mby next tym nijulishe nikutembeze maeneo kwa saa moja co Dar ambako...
Tukijadili muundo wa serikali moja au tatu; tuwekane wazi kuwa Warioba hakufanya kitu kwani kwenye rasimu yake kasema 3 na ndo maoni ya wachangajiaji kwa nini hilo swala lisingerudi kwetu tukalipigia kura kama tunataka au la?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.