Search results

  1. kubwi

    Umuhimu wa bunduki kwenye vituo vya mitihani

    Jamani naandika Uzi huu nikiwa sina kinyongo chochote ila nikihitaji kujua zaidi. Nini umuhimu Wa police na bunduki kwenye vituo vya kufanyia mitihani drs LA saba ,form four, na six necta?? Kuna hatari gani inayokisiwa kutokea hadi ikahatarisha Amani? Utaratibu huu ulianza lini kwenu ninyi Wa...
  2. kubwi

    Channels za taifa za bure kwenye ving'amuzi vya television

    Nashindwa kuelewa supreme power ya serikali dhidi ya companies za ving'amuzi hawa ZUKU hawajui la mganga wala nini. Serikali hawajaisikia, wameigomea au nini?
Back
Top Bottom