Search results

  1. Y

    Tanga: Mlemavu wa ngozi abakwa na wanaume wawili

    Hakuna kesi iliyofunguliwa ambayo mlemavu wa ngozi akilalamika kubakwa. Tuambie anaishi Kitongoji, Kijiji, Kata, Tarafa ipi ili taarifa hii ifanyiwe kazi.
  2. Y

    Jeshi la Polisi: Hili tukio lina ukweli ndani yake au ni kuchafuana tuu?

    Hii picha itakuwa imeeditiwa, mbona sioni kiti walichokalia!
  3. Y

    Mapya ya anaedai kubakwa na kapuya...

    Ama kweli njaa inasumbua watu mpaka umetumwa kumsafisha!
  4. Y

    civil case

    Ninatakiwa niandike field report ya hiyo The imposition of sentences in civil cases in Tanzania.
  5. Y

    civil case

    Naomba mnifafanulie "The imposition of sentences in civil cases"
  6. Y

    Tukio la ajabu lafanywa na police wa barabarani hapa Lushoto leo asubuhi, wakamata Taxi zote!

    acha kulalamika,hizo taxi zilizokamatwa hazina makosa? Kama wamewabambikia makosa wana haki ya kwenda ngazi za juu.Ungekuwa wewe ni traffic ungefanyaje? Tafakari.
  7. Y

    Mbeya: Walimu wakamatwa na TAKUKURU kwa kula rushwa za Tsh 500!

    kwanini wanafunzi wachelewe? Adhabu siyo tu kuchapwa viboko hata kutoa ngawila kwa kosa ulilolifanya nayo ni adhabu.Pongezi kwa walimu kugundua adhabu mbadala.
  8. Y

    Makahaba Wagonganisha Ma RPC Dar

    hata kama Kenyela amekosea,Kiondo hakutakiwa kuliongelea jambo hilo kwa jamii.
  9. Y

    TANZIA: Afisa wa TAKUKURU auawa

    hiyo hiyo bahati mbaya itampeleka gerezani,RIP Marehemu.
  10. Y

    Polisi Afukuzwa Kazi kwa Kumbaka Mtuhumiwa wa Kike katika kituo cha polisi

    someni kifungu cha 130 cha kanuni ya adhabu,utaelewa maana ya kubaka.
  11. Y

    Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

    kuweni wavumilivu maisha bora kwa kila mtz yanakukuja soon
  12. Y

    Dharura, naombeni namba za Polisi Dar

    Polisi jamii na ulinzi shirikishi,sio mpaka awepo askari polisi hata wewe unaweza kumsaidia dada huyo.mtu yeyote ana mamlaka kumkamata mtu mwingine anayefanya uhalifu mbele yake na anatakiwa kumfikisha sehemu husika.
  13. Y

    Naomba Kusaidiwa Jibu la Swali Hili Wanajamvi

    aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa.
  14. Y

    Pambano la cheka na kaseba

    vipi kati ya Wema na Wolper?
  15. Y

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    yaliyoandikwa ni ya kweli lkn wanafanya hivyo.
Back
Top Bottom