Search results

  1. T

    Nini tafsiri ya picha hii.

    Kazi yeyeto ya sanaa ya Picha ubeba ujumbe Fulani au imani Fulani,sanaa uzungumza sanaa uongea.Hii Picha IPO mitandaoni sijaelewa tafsiri yake ni ipi. Hapo pana Picha ya ng'ombe na risasi ambao imechorwa mfano wa nyumba za nyasi za wafugaji.
  2. T

    Uchambuzi wa siasa DW Leo 9/3/2019. Je, CCM inaimarika na upinzani unadorora?

    NIMEPENDA UCHAMBUZI ULIOFANYIKA DW LEO 9/3/2019 ULIKUWA UNAHUSU JE, CCM INAKUA NA HALI YA SIASA IKOJE? Na MBUNGE TO BE (HAULE J) Nimesikiliza kwa makini sana uchambuzi huo huku kada mmoja wa Ccm akiwa amekiri wazi wazi kuwa CCM hakui bali inatumia nguvu kubwa kujitangaza kuwa inakua...
  3. T

    Mwenye kuhitaji Toyota dyna tani 3.5 gari ya kazi tuwasiliane njoo na offer yako.

    https://photos.app.goo.gl/WZQL8XVxjz6d1BSp8
  4. T

    Toyota dyna tani 3.5 inauzwa

    Toyota dyna tani 3.5,engine 4b,GARI ya Kazi fully vibali,popote unanusa,GARI ya Kazi ipo Dar mitaa airport,milioni 15 kama ni mnunuzi usiogope bei wanaume wanaongea.tuwasiliane inbox
  5. T

    TRL na TAZARA pokeeni wazo la biashara kuongeza mapato.

    Wasalamu kama Mada tajwa,haya mashirika mawili ya reli ukisafiri utaona wana maeneo wanazalisha kokoto,mawe, na mchanga ( makarasha),na ya Hazina kubwa tu,utakuta mengine yamesimama uzalishaji sababu ya mahitaji maana watumiaji wakuu ni mashirika haya hasa kwa ajili ya mawe wayawekayo...
  6. T

    Naomba kujua gharama halisi ya kuagiza ya kuingiza trekta nchini

    Wasalaam kama kichwa kinavyojieleza nikitaka kuagiza tractor hii toka South Africa nchini gharama halisi ikiwemo kodi,na gharama zingine nijiandae na ngapi,na natakiwa nini vya kufanya ili iingie.Ipi njia nafuu Kwa maji au nchi kavu ,tractor model john deer,HP 130,matumizi Kilimo,hapa kuna...
  7. T

    Kumbe Nyerere nae aliua vyama vingi ili atawale muda mrefu

    Twajifunza kutokana na msuguano wake na Kambona,juu ya Sera zake za ujamaa ambazo zilichangia umasikini wetu,pale alipokuwa na chuki na wenye mali Kwa kuzitaifisha Mali zao.Kumbe sera za kuishi kama mashetani ni copy and past from past.Nyerere alifuta vyama vingi, akauwa mfumo binafsi wa...
  8. T

    Ombi kwa serikali tuwaenzi walinda usalama wetu.

    Wasalamu nikiende kwenye point.Tuna walinda usalama wetu nikimaanisha askari wote, polisi,jeshi, askari game,magereza nk.Baadhi wamekuwa wakipata madhara makubwa ikiwemo vifo wanapotekeleza majukumu ya kikazi mfano kulinda amani,kupambana na wahalifu,majambazi,majangiri,waasi nk asilimia kubwa...
Back
Top Bottom