Search results

  1. R

    Sofa zinauzwa ziko tatu na meza ya Tv

    Hazina michubuko wala kuchanika bado mpya kitambaa ni lather ya kibongo. Hazjabonyea popote maana hazkaliwi Mara nyingi. Lipo kubwa LA watu wawili na mawili ya MTU mmoja mmoja jumla matatu. Yanapatikana mbezi kimara Dsm. Nicheck 0787 429 104 AU 0759 890 889 Bei 370,000/ Tu.
  2. R

    Angalia uzoefu wangu kisha naomba kazi

    Habari za jioni wakuu... Angalia uzoefu wangu huu wa kazi ambazo nilishafanya kisha kama inawezekana uniajiri. 1. Nimewahi fanya kazi kama Administration officer na Records. Nikatoka na uzoefu ufatao - Kutengeneza petty cash na kuweza itumia ipasavyo - Kutengeneza...
  3. R

    Kazi ya uandishi wa makala mbalimbali kwenye magazeti na uchambuzi

    Naweza kufanya kazi hiyo ya kuandika makala za siasa, dini, nk kwenye magazeti nk pia uchambuzi 0787 429 104
  4. R

    Solar panel 100 watts

    Solar panel mpya kabisa 100 watts inauzwa 120,000 tu inapatikana mbezi ya kimara 0674 916 716
  5. R

    MAZIWA MAZIWA

    MAZIWA MTINDI 2500 FRESH 2000 UNARUHUSIWA KUPIMA KAMA YANA MAJI TUNALETA MPAKA ULIPO KUANZIA LITA 5 NA KUENEDELEA TUNAPATIKANA MBEZI YA KIMARA 0787 429 104 DSM TZ.
  6. R

    Service ya vyombo vya umeme

    Karibuni nyote makanisa watu binafsi makampuni tunatengeneza vyombo vya umeme kama tv, subwoofer, redio za gari na kawaida, booster, ampilifaya, equalizer, crossover, spika zilizoungua, tunasuka booster za kiwango chochote ukitakacho, feni. Umeme wa solar tunarekebisha na...
  7. R

    Inauzwa Huawei Y 600

    Bei 65,000 tu 0787 429 104
  8. R

    Pata star x tv inch 22

    Bei 170,000/= inapatikana mbezi luis, inatumia umeme wa dc na ac ndani ya box kabisa nicheki 0787 429 104.
  9. R

    UMEME WA SOLAR

    WAKUU HUSIKENI NA KICHWA TAJWA HAPO NNA UMEME WA SOLAR PANEL 75 WATTS, BETRI YA RITAR 65 AH HII BETRI NI MMWISHO WA MATATIZO KWA WANAOZJUA HIZI KKOO CHINI YA 200,000 HUJAICHUKUA UMEME HUU NILIKUWA NAWASHA TV 22 INCHI, SUBWOOFER, KING'AMUZI, REDIO YA GARI, TAA 2...
  10. R

    Hizi ni sifa zangu, natafuta Kazi

    Wadau natafuta kazi jamani Sifa nilizonazo ni hizi 1. Nna first degree ya political science and public administration 2. Nna uzoefu wa kufanya kazi kama records officer kwa miaka 2 nilikuwa shule moja hapa dsm iko boko 3. Nmefanya kazi kama adminstration officer kwenye kampuni la kukodisha...
Back
Top Bottom