Search results

  1. K

    Kabla ya kuwalaumu Majaji soma (Judges Remuneration and Terminal Benefits Act)

    Masanja acha umbumbumbu yote yaliyoandikwa ni gharama za Serikali haikosi uko lumumba?
  2. K

    M/Kiti UVCCM Manyara: Wapinzani watafute kazi nyingine za kufanya

    CCM haina UBAVU Wa kurudisha nchi kwenye Chama kimoja hilo ni swala la kimataifa
  3. K

    Standard Gauge ikikamilika,ipewe jina la MAGUFULI TRAIN

    Mbona DARAJA LA Kigamboni halikuitwa KIKWETE?
  4. K

    Mtulia atema cheche, ateka hisia za wengi

    KWANI wewe hujui? Tunataka hata wasio na akili wajue
  5. K

    Mtulia atema cheche, ateka hisia za wengi

    CCM MNAFANYA KAMPENI za nini wakati TUME na Mashehe ni wenu?
  6. K

    Je Unazijua Tabia Za Maafisa Utumishi

    Mtumishi unapostaafu afisa Utumishi anakutaka upeleke nyaraka ambazo yeye ndio alikupa, bado anakuambia umpelekee JALADA lako la ajira ambalo liko Serikalini angepaswa kuliagiza
  7. K

    Wasomi kujiunga na ccm nikutaka mikopo na ajira ?

    Ahaaaaaa ccm ikufae wewe kuna maelfu wapo lumumba wanashinda toka asubuhi mpaka saa12
  8. K

    Serikali /mifuko ya jamii iache usumbufu kwa wastaafu kuwatuma kufuatilia majalada mikoani

    Hakika serikali na mifuko ya jamii imekuwa chanzo cha usumbufu mkubwa wakati mtumishi wa umma anapostaafu. Serikali inapomtaka mtumishi wa umma atoe nyaraka zake za ajira wakati serikali yenyewe ndio iliyompa huyo mtumishi inashangaza. Serikali inapomtakamtumishi wa umma akalete jalada lake...
  9. K

    Wasomi kujiunga na ccm nikutaka mikopo na ajira ?

    Wasomi fungukeni AJENDA hiyo
  10. K

    Hatimae Ester Bulaya afanikiwa kumstaafisha Wassira kugombea ubunge

    Eddy kwani hakulijua mbona alikuwa anagombea?
  11. K

    Picha za Sheikh Alhad Mussa na makada wa CCM zinatoa tafsiri gani? BAKWATA toeni ufafanuzi

    Tume ya uchaguzi mbona sheikh mkuu wa Dsm anafanya siasa na ccm hamkemei?
  12. K

    Mtulia hafai kuwa Mbunge tena, kauza ubunge wake na ni mbinafsi

    MTULIA tushamjua HATUNA sababu ya kupoteza muda Hafai yupo Kwa maslahi yake
  13. K

    Mtulia hafai kuwa Mbunge tena, kauza ubunge wake na ni mbinafsi

    Bw.Mtulia ni mbinafsi hafai kuchaguliwa.Hata CCM inajua.Kitendo cha kubinafsisha ubunge wako bila kutushirikisha tuliokuchagua ni Ubinafsi Mkubwa.Hatuna imani na wewe hata VIJANA uliwahidi kuwapa MIKOPO ukiwa Mbunge Wa CUF lakini HUKUWAPA.
  14. K

    Hatimae Ester Bulaya afanikiwa kumstaafisha Wassira kugombea ubunge

    Hayawi hayawi yamekuwa.Hatimae Mbunge Ester Bulaya amemfanya Mzee Stephen Wassira astaafu KUGOMBEA UBUNGE badala yake atakuwa mshauri ndani ya Chama chake cha CCM.
  15. K

    Mayor Sitta na uongozi wake wafanikisha kuipeleka KMC ligi kuu ya Vodacom!

    Ndio KIPAU MBELE CHA wana kinondoni?
  16. K

    Dr. Mollel aibomoa tena CHADEMA Siha

    Wanatoka MAMLUKI wanabaki wanachadema
Back
Top Bottom