Search results

  1. K

    INAUZWA Ipambe nyumba yako na home appliances nzuri kwa bei nafuu kutoka kwetu

    Nahitaji "Steam Iron" (Pasi ya Mvuke), mwenye nazo anifahamishe tafadhali
  2. K

    Hakainde Hechilema wa Zambia "Kama Maskini Tafuta Pesa Kwanza Ndio Ugombee Uongozi Serikalini" Wanyonge Mtasuka au Mtanyoa?

    Kwa akili zako Madelu kamwe huwezi kuendana na kiongozi tena mwenye maono kama HH. Mtu mwerevu hujifunza kutoka kwenye kila jambo jema analoliona kwa jirani yake; ni mchawi pekee asiyependa kujifunza au kuona mwenzake anaendelea ndo maana hakuna mchawi mwenye maendeleo. Nimestaabu kuona...
  3. K

    Hakainde Hechilema wa Zambia "Kama Maskini Tafuta Pesa Kwanza Ndio Ugombee Uongozi Serikalini" Wanyonge Mtasuka au Mtanyoa?

    Hivi kama muda wote unashinda kwenye social media namna hii hivi unapata wapi muda wa kubuni vyanzo vya mapato kwenye wizara yako! si ajabu ndio maana umeona tozo kwenye kila ectronic transaction ndo njia pekee ya mapato ya serikali; aibu kwa taifa
  4. K

    Hospitali ya Apollo ya India Kuanza Ujenzi wa Hospitali ya Matibabu ya Kibingwa ya Kansa hapa Tanzania

    Ni jambo jema sana; ila haihitaji tozo yoyote kufanya haya. Tafadhali waondoleeni wananchi tozo
  5. K

    Ukistaajabu ya tozo, tazama wafanyabiashara tunavyoumizwa na serikali

    We Madelu The Sunk Cost Fallacy sera mlizoweka ndio zinachochea watu kukwepa kodi. Kumekuwa na utitiri wa kodi, urasimu, ubabe, kuto kuwajibika na mambo mengine mengi ambayo kwa pamoja mtu anaona bora afanye ujanja ujanja ili aweze kuihudumia familia yake. Tambueni ya kuwa wafanya biashara...
  6. K

    Serikali yasogeza mbele sheria ya ukomo wa elimu kwa waandishi wa habari

    Ooh Nchi ya Tanzania, ni lini utatoka kwenye huu usingizi mzito na kuanza kupiga hatua za maendeleo!? Pale ambapo sifa za kuwa mtunga sheria ni kujua kusoma na kuandika lakini msimamizi wa sheria lazima awe na elimu walau ya kidato cha nne, mtafsiri wa sheria lazima awe walau na shahada. Pale...
  7. K

    Iramba: Serikali kupitia TARURA yatoa TZS 7bl kufungua barabara

    Ikumbukwe kuwa hizo pesa zinatolewa na wananchi hususani maskini wanaokamuliwa kila siku kupitia tozo mbalimbali za miamala na malipo. Ikumbukwe vilevile kuwa bidhaa zinapanda bei kila siku inayoitwa leo ili hali vipato havijaongezeka. Kwa busara ilikuwa ni vema kuwapongeza wananchi...
  8. K

    Swali Fikirishi: Hivi Ikulu ya Chamwino kuna nini hata Rais asikae?

    Nugu zangu Watanzania, mbona tunakuwa kumbukumbu fupi (wepesi sana wa kusahau)!? Tufananishwe na nini sijui, Kuku au panzi!!? Mmetoka kulalamika masaa machache yaliyopita juu ya adha ya foleni inayosababishwa na misafara ya viongozi jijini Dar hali iliyopelekea watu kushuka kwenye magari na...
  9. K

    January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

    Tambua kuwa kazi ya serikali ni kutoa huduma kwa wananchi wake na si kutengeneza faida. Ni mapato kiasi gani serikali inapata kwa kutoa elimu msingi (Std I - Form IV) bure!? Ni mapato kiasi gani ya moja kwa moja serikali inapata kwa kujenga barabara na madaraja nchi nzima!? Suala la umeme ni...
  10. K

    January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

    It seems wewe ni mtumishi wa Tanesco/Wizara ya Nishati na Madini. Nasikitika kutamka kwamba kwa majibu yako haya na yale ya mheshimiwa sana Waziri itatulazimu tusubiri miaka mingine 60 ili kuwa walau na miundombinu na huduma bora za kijamii. (1 Fal 19:7)
  11. K

    Mabenki yaanza kukusanya Tozo za Serikali kwenye miamala wanayofanya wateja

    Tatizo sio NMB, tatizo ni yule asiyefikiria na kutafuta chanzo kizuri cha kukusanya pesa isipokuwa pesa yenyewe. Tunarudishana nyuma na kutiana umaskini kwa misururu ya kodi. Mungu aturehemu.
  12. K

    Kwanini benki hutoza wateja ada kwa kutoa pesa zao wenyewe?

    Mada ya Mtoa hoja ni fikirishi na inahitaji exposure kidogo kwenye masuala ya monetary na banking system hasa katika nchi zilizopiga hatua kubwa kiuchumi. Ukizitazama nchi zenye uchumi mzuri kifedha mathalani China kwa mfano, wao huamini benki ndizo zilipaswa kuwalipa wateja wao kwa kutunza...
  13. K

    Rais Samia achana na kuikumbatia CCM, fanya kazi zenye Maslahi mapana kwa Watanzania

    Kwa mfano ukiulizwa JPM alikufanyia nini kibaya utatoa jawabu gani... Tusipende kutoa lawama kwa kusikia fulani kafanyiwa hivi au vile kwani ni vigumu kuelewa ukweli halisi wa jambo ikiwa halijakutokea wewe. Aidha unapaswa kukumbuka kuwa uongo husambaa kwa kasi sana ikilinganishwa na ukweli...
  14. K

    Nini plan B baada ya vifurushi vya internet kupanda bei?

    Nadhani haya ni matokeo ya ile hotuba ya ndugu lile aliyoitoa kwenye vyombo vya habari kuwa pesa zinazotokana na simu za kimataifa zimeshuka Sana kwa sababu ya uwepo wa option ya kuongea na mtu katika mitandao mingi ya kijamii na kuahidi kulifanyia kazi. Ni hatua mbaya kabisa kuwahi kutokea...
  15. K

    Uchaguzi 2020 Kishindo cha Tundu Lissu chatikisa Zanzibar, Maandalizi ya ujio wake usipime

    Hata Libya walisema vivo hivyo, tazama walipo hivi leo kisha ulinganishe na mahali walipokuwa wakati wa Gaddafi
Back
Top Bottom