Search results

  1. K

    Msaaada Kuhusu TV yangu

    Wakuu naomba msaada wenu tangu jana Tv yangu SUMSUNG series 5 haioneshi (Display) chochote. sijui tatizo nini?
  2. K

    Foleni ya magari barabara ya Tabata jana na leo ni usumbufu na uonevu kwa raia

    Kwa wakazi wa Tabata, Segerea, Kinyerezi na wanaotumia Barabara ya Tabata kupitia Tabata Reli kwa siku mbili hizi zimekuwa ni ngumu pamoja na kujitahidi kutoka mapema lakini kulikuwa FOLENI isiyo na msingi kwani ilikuwa inasababishwa na Askari mmoja au kundi la askari waliokuwa wanasimamisha...
  3. K

    Tabora mjihadhari na njaa inayoletwa na wafanyabiashara wenye tamaa

    Nipo Tabora siku ya pili leo nimeshangaa kwa mara ya kwanza mwaka huu mchele umepanda ghafla toka 800-16000 na Kuwa 1600 hadi 2300. Kuulizia sababu naambiwa kuna wafanyabiashara toka Kenya, Uganda, Sudan Kusini na wenzetu wa Zanzibar ambao wanachukua mchele wa Tabora na Shinyanga na kwenda ku...
Back
Top Bottom