Search results

  1. I

    Tundu Lisu ni kisiki cha mpingo wapenda haki tunakukubali endeleza tupo nyuma yako

    Lissu ni balaa sana katika mambo ya kisheria anatisha mbaya CCM hofu tupu hawajielewi.
  2. I

    Hon. Freeman a. Mbowe (mp-hai constituency) you deserve congratulations

    Hiyo aipingiki Kamanda Mbowe ni mpigania haki na utu wa mwanadamu wa mtanzania.Viva Chadema.
  3. I

    CHADEMA yawapa raha watanzania: Taifa Lazizima

    Safi sana Chadema Mungu mkubwa,aibu yao CCM inayogandamiza haki na utu wa mwanadamu! Mungu mkubwa,Viva Chadema.
  4. I

    Sioni umuhimu wa facebook kwa mwanafunzi, siwezi jiunga nayo nitajiunga muda ukifika - Moses Swai

    Bora hata wewe,mwenzako mwanaasha jakaya Kikwete hapo Feza girl kalamba four ya 27,1V 27 alikuwa muda mwingi anachart na watoto wa Mwai Kibaki kwenye facebook kusoma akasahau.
  5. I

    Sintofahamu kwa wabunge wa chadema

    Nataka nimuoe mama yako,unasemaje?Inasemekana wewe ni mtoto wangu,ila nashangaa unaakili mbovu wakati mimi baba yako naakili timamu.
  6. I

    Raisi mmoja wa Africa atakufa hivi karibuni - TB Joshu

    Bora afe huyu wa hapa nchini,ili atuachie nchi yetu hata kama kaisababisha kuwa maskini.
  7. I

    Bungeni: Muswada wa Katiba Unajadiliwa!

    A good landbrothers,master of laws! Big up Lissu.
  8. I

    Mtoto wa Magufuli afeli form four

    Wameshindwa kuongoza nchi na hata familia za watu watatu zimewashinda.Kweli CCM hovyo inatia kinyaa.
  9. I

    Pongezi kwa Zitto

    Umeshaolewa lakini?Mi natamfuta mwanamke wa kustarehe naye
  10. I

    Aliyeongoza matokeo kidato cha 4; amshukuru Mungu

    Jamani wakristo wanaakili kweli mana seminary zao zinaongoza kila mahari,jamani waislam wenzangu tujitahidi na sisi tuweke mkazo ktk masomo ya dunia.
  11. I

    Neno La Leo: Kikwete Ni Kama Mungu!

    Basi yule mke wako wa Kizungu na watoto wako wale nao ni Mungu,kama Kikwete jambazi ni Mungu.
  12. I

    Waraka wa kidini wasambazwa zanzibar kukichafua chadema

    Ehee Mungu ilaani CCM kwa kutupa ujasiri watanzania wote kukubari kuindoa madarakani.
  13. I

    Msafara wa CCM wapigwa Soko la Kilombero Arusha

    Ukiwa upo CCM wewe ni adui namba moja wa kizazi chako,mana CCM ni chama cha majambazi na mafisadi.
  14. I

    Nape sawa sawa na chifu Mangungo, mbwa kibogoyo !

    Kikwete ajiuzuri pamoja na serikali ya kifisadi CCM watuachie nchi yetu,tumechoka na ufisadi na ujambazi wa mali za watanzania.
  15. I

    Chama gani mbadala kwa CCM?

    Huyu ni kibaraka mkuu wa CCM anatafuta madaraka kwa hali na mali,usomi wake upo wapi,anawaaibisha wasomi wa nchi hii.
  16. I

    MIAKA 35 ya CCM na changamoto za kiutawala LIVE ON Star TV

    Mmefanya nini miaka hiyo yote 35 nyie CCM! Kubwa mlilolifanya ni kuiba mali za watanzania na kufisadi nchi kwa kudhurumu haki na utu wa Mtanzania! 2015 bye bye CCM.
  17. I

    Wabunge CCM wamlipua Kikwete, WADAI WANAKERWA JINSI RAIS ALIVYOMGEUKA PINDA, MAKINDA

    Wabunge wa CCM na serikali yao legelege na dhaifu haijui inachokifanya katika utendaji wake,wamekalia kujaza matumbo yao kwa kuwaibia watanzania mali ghafi zao! Ni heri CCM 2015 ipumzike.
  18. I

    Wabunge CCM wamlipua Kikwete, WADAI WANAKERWA JINSI RAIS ALIVYOMGEUKA PINDA, MAKINDA

    Serikali legelege na dhaifu ya CCM huwa na maamuzi legelege na dhaifu,wamekalia kuiba mali za watanzania na kuwafanya watanzania kuwa watumwa katika nchi yao.
  19. I

    Barua ya wazi kwa Dr Slaa Part 1 + 2 kuelekea 2015

    Dr Slaa rais wangu mpendwa,tishio la CCM,mkombozi wa Watanzania,tupo pamoja naye katika kupigania haki na utu wa Mtanzania! Pamoja tutashinda vita hi.
  20. I

    Birthday ya CCM Mwanza, Malori yaanza kumiminika

    Wamewachukua watu kijijini na kuwaleta mjini kwenye malori,kweli CCM chama cha mafisadi kinadhalilisha haki na utu wa mwanadamu! 2015 bye,bye,bye,bye mafisadi CCM.
Back
Top Bottom