Search results

  1. A

    Natafuta kazi nina Barchelor of Business administration in Accounting with Education

    Mimi ni mhitimu wa Degree ya Barchelor of Business administration in Accounting with Education natafuta kazi yoyote ile inayoendana na elimu yangu namba za simu 0714488026
  2. A

    Natafuta kazi

    Mimi ni kijana ambae naishi arusha elimu yangu ni Diploma ya accountancy nahitaji kazi inayohusika na kada tajwa hapo juu ambayo inapatikana arusha kwa sasa ni Barchrlor progress 3rd year namba yangu ya simu ni 0714445217. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    Swali kuhusu vyeti

    Jamani nauliza kuna jamaa yangu akusoma diploma akafanikiwa kujiunga Barchelor sasa yuko mwaka wa tatu ila chuo chake kilitoka kwenye orodha ya kusitishiwa udahili je anaweza kuathirika kwenye barchelor yake maana wale ambao walikuwa hawajaomba wakivyojaribu kuomba wanaambiwa matokeo yake...
  4. A

    Natafuta kazi

    Mimi ni kijana mtanzania elimu yangu ni diploma ya uhasibu natafuta kazi yoyote Arusha inayoendana na fani yangu namba zangu za simu ni 0714445217
  5. A

    Ajira za ualimu

    Jamani naomba kuuliza hivi Mtu aliesomea BBA WITH EDUCATION anaweza kuajira kama Mwalimu .
  6. A

    BBA in accounting with education anaajiriwa kama mwalimu?

    Samahani naomba kuuliza kwa anaejua je mtu anaesoma course tajwa hapo juu anaweza kuajiriwa na serikali kama mwalimu kama mwalimu mwingine na je fursa zingine za ajira kwenye course hiyo ni zipi
Back
Top Bottom