Search results

  1. Chrismoris

    Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    Uzuri mhazini nilikuwa ni mimi mwenyewe hivyo pesa zote nilikuwa nalipa kwa mhusika wa tukio moja kwa moja bila kutumia middle men.
  2. Chrismoris

    Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    Siku ya harusi ilitokea dharula ya kulipia kila sahani ya chakula inayoingia ukumbini, hivyo pesa ya dharula ikasaidia eneo hilo.
  3. Chrismoris

    Netanyahu na HAMAS katika siku 2 Muhimu za Tafakuri

    ETi buden, buden ndio nani wewe chaliii Kama unamaanisha biden ,bas ujue Biden ana asili ya Ireland.
  4. Chrismoris

    Hivi kweli kuna bishara ya kuingiza faida kuanzia milioni 100 na kuendelea kwa siku/wiki/mwezi?

    Njoo Mtu anauza soksi rejareja ila ana fremu ya Milion 2 kwa mwezi
  5. Chrismoris

    Ukwasi wa Makonda unatia shaka kama mtumishi wa umma

    Makondo ni mwizi anayelindwa na wakubwa wa serikali kwa sababu huwa wanamtumia kutekeleza mambo ya hovyo hovyo.
  6. Chrismoris

    CHADEMA chukueni kikotoo kama agenda muhimu ya uchaguzi

    Chadema wamchukue Samia Suluhu Hassan awe mgombea wao, halafu CCM wamuweke Suphian Matravota kutoka Singida.
  7. Chrismoris

    Heri ununue nyavu kuliko bodaboda

    Hii ndio yale yale ya kijana wa miaka 30 anamshauri mtu wa miaka 50 namna ya kukabiliana na changamoto za biashara.
  8. Chrismoris

    Baada ya Ramadhan idd ni moja tu, hakuna kitu inaitwa idd pili! Kwenye idd ya kuchinja ndipo penye siku tatu za baada ya idd

    Kwani kuna mtu serikali imemlazimisha kupumzika ? Wanaopumzika ni watu ambao kazi zao hazina tija kwenye kukuza pato la mtu na la taifa.
  9. Chrismoris

    Nigeria leo ni Sikukuu ya Eid El Fitr?

    Habari za kusubiria mwezi ndio huwa zinanikumbusha kwamba hii imani ni ya kilofa sana.
  10. Chrismoris

    Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    Usafiri Mavazi na mapambo kwla bibi harusi Usafiri siku ya harusi Ukumbi Chakula Vinywaji Mc na Mziki Usafiri wa wakwe Mavazi ya bwana harusi Mavazi ya wasimamizi wa harusi Dharula Hela ya sehemu ya honeymoon Video na picha Udambwi udambwi mwingine.
  11. Chrismoris

    Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    Aina ya watu waliohudhuria shughuli yako, wana vinasaba vya matendo hayo.
  12. Chrismoris

    MC acheni kuposti video za harusi na sendoff bila idhini

    Acha ujinga Kuchangia kwako na kujipa kazi ya kurekodi vinahusianaje ?
  13. Chrismoris

    Makonda: Watalii hawaji Arusha kulala wanakuja kula starehe, ni lazima Arusha iwe salama saa 24. Hao wadudu nitaongea nao

    Kama hapo Arusha mjini kuna maduka ya wahindi, wawe makini sana na hicho kijamaa kinachoitwa Paula Makondo, mnakumbuka ile tabia yake ya kutumia vitisho kama fala Sabaya kutaka apewe favours ambazo hazistahili.
  14. Chrismoris

    Tabia Zinazomfanya Mwanamke Awe Na Hisia Nawe Zaidi, Akupende Na Mdumu

    Wenzenu wanawekeza kwenye tafiti za kisayansi, wewe bwege unawekeza kufundisha watu masuala ya ngono.
  15. Chrismoris

    Kama mlikuwa mnapendana, kwanini mnaogopa kuongozana pamoja?

    Punguza kula chips na wewe, tako limekuwa kubwa kumzid mkeo
Back
Top Bottom