Search results

  1. Tairi bovu

    Mnalalamika Serikali kuficha taarifa wakati nyie ni watoa taarifa na ni madaktari mnaothibitisha vifo na ugonjwa wa waliokufa kwa Corona!

    hahaha zezeta anapowaita watu wenye kudadisi mazezeta... hizi sio zama za kambarage mazee, kwamba wote tunatumia SLP na kusikiliza RTD hapana
  2. Tairi bovu

    Mnalalamika Serikali kuficha taarifa wakati nyie ni watoa taarifa na ni madaktari mnaothibitisha vifo na ugonjwa wa waliokufa kwa Corona!

    kazi kweli mpaka kiongozi wa malaika kakimbia vita na ventlater ya bugando juu
  3. Tairi bovu

    Mnalalamika Serikali kuficha taarifa wakati nyie ni watoa taarifa na ni madaktari mnaothibitisha vifo na ugonjwa wa waliokufa kwa Corona!

    WEWE ndo una propaganda mfu, unataka kutuaminisha ujinga wako kwamba takwimu za serikali ni uongo wakati kila kitu kipo na mfalme kakimbia nchi? zipo wapi zile hotuba za live hata kuwahutubia WEOs huku akitamba kwamba yu jasiri
  4. Tairi bovu

    Mnalalamika Serikali kuficha taarifa wakati nyie ni watoa taarifa na ni madaktari mnaothibitisha vifo na ugonjwa wa waliokufa kwa Corona!

    sawa lakini hili gari la DSM CITY COUNCIL BURIAL SERVICES LINALOELEKEA HUKU MBWENI USIKU INAPELEKA NINI?
  5. Tairi bovu

    Kamati Kuu ya CHADEMA kufanyia vikao kwenye hoteli za kitalii limulikwe

    kama yule aliyuza nyumba kwa ndugu na vidosho? akajena u/ndege na kuzinunuaa bila kufuata taarifa za manunuzi
  6. Tairi bovu

    Fahamu ni kwa namna gani unaweza kuongea na Watoto kuhusu mlipuko wa CoronaVirus

    Tumezoea kuwaona watoto wetu wakisimama kwenye magari kisa wanalipa 200. Sasa janga limeingia na tunatakiwa level seat. Japo shule zimefungwa zikifunguliwa watasafirije kufika shuleni? Nao watakaa level siti?
  7. Tairi bovu

    Msajili wa vyama vya Siasa aungana na CCM na Serikali kudai kuenguliwa kwao ni uzembe wao wafuate kanuni

    Kama ulisikiliza press ya polepole haina tofauti na haya aliyosema huyu jamaa. Kumbuka pale aliposema wametumia AKA badala ya jina kamili. Hugo mfadhili gani wa kufuatilia chama kimoja tu? Mlishawahi sikia anamwandika barua mrema?
  8. Tairi bovu

    Ushahidi namna wakurugenzi na CCM wanavyoshirikiana kuiba kura kwenye chaguzi

    Kuhusu Ded kuiba kura ninaoushahidi wa kuweza kujaza counter book. Lakini kwakuwa were unaishi kwa uongo na ushabiki utakataa
  9. Tairi bovu

    Ushahidi namna wakurugenzi na CCM wanavyoshirikiana kuiba kura kwenye chaguzi

    Hoja hupingwa kwa hoja sio mipasho ile inayoimbwa chimwaga wakati wa kuchagua viongozi wa kitaifa.ambayo matokeo take yapo bayana leo
  10. Tairi bovu

    Ushahidi namna wakurugenzi na CCM wanavyoshirikiana kuiba kura kwenye chaguzi

    Nimekuwa na nitaendelea kumchagua mdee Siku zote japo sipajui hata anapokaa. Siongozi na vichaa mm
  11. Tairi bovu

    Ushahidi namna wakurugenzi na CCM wanavyoshirikiana kuiba kura kwenye chaguzi

    Habari wanabodi, Haya yanayotokea hayatokei kwa bahati mbaya. Ni mipango ya makusudi ikiongozwa na kuratibiwa na vyombo vya ulinzi. Mwaka Jana nilikuwa kwenye jimbo moja la uchaguzi. Pale kulikuwa na madiwani wawili toka upinzani.Kati yao mmoja anatoka CUF na mwingine CDM.Ulikuwa msimu wa...
  12. Tairi bovu

    Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

    Bora kuandika ugoro kuliko kufikiri ujinga nioneshe ugoro wangu nawe nitakuonesha ujinga kwenye vimipasho vyako unavyoandika kutwa kucha humu
  13. Tairi bovu

    Serikali kuvuruga uchaguzi wa Serikali za Mitaa - Kauli za Viongozi wa Dini

    Katika hao mtoe she he mkuu wa BAKWATA yule no mwana CCM ukienda kwake utakuta haya mfeka majani anajezi lifulana la CCM haya yye mwenyewe akiwa mapumziko huvaa Yale matambara unategemea nn hapo
  14. Tairi bovu

    Tulionya tukapuuzwa, Laana ya Dr. Slaa ni kali

    Yafaa ukawe mushumbusi
  15. Tairi bovu

    Jumuiya ya Ulaya na baadhi ya balozi za nchi za Magharibi kutoa tamko juu ya uchaguzi Serikali za Mitaa

    Nchi inachafukaje? Athar za kuchafuka kwa nchi unazijua? Kwa taarifa yako haya makaburu walijenga kila kitu kama hayo Maleri lakini walichafuliwa kwa matendo ya kipuuzi kama anavyofanya Hugo kichaa aliuza nyumba za umma kwa hawala zake na nduguze, anajifungia ndani na watengeneza ndege na...
  16. Tairi bovu

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    German tena kwa mabeberu? Akiondoka so watu watapiga diri/li
  17. Tairi bovu

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    Wizi was mitihani unamadhara haya ukubwani! Hujui haya maana ya Ubaguzi?
  18. Tairi bovu

    Nini kilimpata Rais Magufuli akiwa anahutubia Ruangwa?

    Ule uzio was chuma haukusaidia? Hahaha
Back
Top Bottom