Search results

  1. P

    Prof. Mkumbo, jibu haya maswali, Sikuelewi kabisa!

    Mkumbo kwani kapona? Akili yake haipo sawa anatokwa na povu akisikia UKAWA
  2. P

    Tamko la jukwaa huru la wazalendo kuhusu posho za Wabunge na baadhi ya Taasisi

    Mtanzania bana, Badala ya kupinga Posho ya Mbunge mnapinga Posho ya kitako? Vijana wa nchi hii majanga, eti Jukwaa la wazalendo? NB: Posho ya Mbunge 8M per month while Posho ya Kitako 120,000 kwa siku. Mbunge akiwa hayupo hakuna ya kitako ila ya mbunge ipo!?
  3. P

    Dalili za Lema kuukosa ubunge

    Mkuu, Jifunze kuandika vema kiswahili, kuna tofauti kubwa kuandika hapa jamvina na kama unamtumia mwenzi wako. Lugha uliotumia kuandika si kiswahili sahihi na point zako zitakuwa si sahihi pia. Over!
  4. P

    Tundu Lissu please, acha kumuibia Lowassa!

    Hii inadhihilisha kuwa watanzania wengi hawana kazi za kufanya. Kama una kazi usingepoteza muda kwa kuandika utumbo mrefu kiasi hicho
  5. P

    Kwenye Jamhuri mengine hayawezekani, Tundu Lissu anafahamu pia

    Kuapa kuitumikia katiba ndiyo sawa na kumgumikia rais? Hatukatai Magu ni rais ila wa baadhi ya maCCM. Atakuwaje wa jamuhuri wakati umefutwa uchaguzi wa upande mmoja wa muungano? MaCCM buana
  6. P

    DC Makonda, ni Kujipendekeza au Utovu wa Nidhamu?

    Huyo mmaza kakumbatiwa na Makonda ndiyo naniii?
  7. P

    CCM Tusifanye Makosa Tunatakiwa kuwa na Naibu Spika Msomi Hakuna Namna!

    We mtu upo? Ulikimbia JF kitambo
  8. P

    Tamko BAVICHA kuhusu mauaji ya Mwenyekiti wa CHADEMA Geita

    KATAMBI ni mjinga na mtu asiejielewa, kaipoteza BAVICHA yetu na Kaenda Shy kauza Jimbo la Shinyanga Mjini kwa Masele. Anajua kuwa si mzawa wa Shinyanga akangangania kugombe kaisambaratisha CHADEMA shinyanga na Sasa CHADEMA Taifa. Leo Mh.Lowassa anasema hamtambui Ndg. MAGUFULI yeye anatoa...
  9. P

    Uongozi wa CHADEMA wilaya ya Shinyanga Mjini wapigwa chini

    Heshima mbele... WADAU,Chama cha CHADEMA taifa, kimewasimamisha viongozi wa wilaya ya shinyanga mjini,mwenyekiti Mbarouk, katibu Ngasa pamoja na Mweka hazina bwana Kasiri. Taarifa za uhakika zinasema uongozi wa wilaya wamesimamishwa rasmi jana. na umeleta taharuki kwa baadhi ya wapenzi na...
  10. P

    Ipi Zaidi : Instagram Party VS Nyama Choma

    Wadau, Tunataka kuona ipi itakuwa ni event ambayo itabamba hapa jijini Dar siku ya j'mosi May30, kati ya Instagram Party vs Nyama Choma. Kwa maneno mengine, Instagram Party ipo kwa kijana machachali Fredy na team yake Idris na Wema Sepetu. Upande Mwingine, Nyama Choma ni bi Carlo Ndosi...
  11. P

    Patrobas Katambi, Naomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini

    Ni kwao, ni kwake. Wanashinyanga hatutaki mgombea wa take away. Anakipasua chama wilaya.
  12. P

    Patrobas Katambi, Naomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini

    Sawa mkuu, huu uzi utadumu kizazi na kizazi utaumbuka mwenyewe. August 02 siyo mbali Shinyanga ni zaidi ya uijuavyo mkuu
  13. P

    Patrobas Katambi, Naomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini

    Umeomba dakika hiyo hiyo nimetoa, stationery saa ngapi mkuu? Ni hayo tu mkuu, najua ujumbe mmemfikia na atachukua hatua sitahiki. Nakuahidi tutampata mwakilishi wa wana shinyaga sisi wana shinyanga wenyewe.
  14. P

    Patrobas Katambi, Naomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini

    Anaishi wapi hapa Shinyanga? Kila akija anaishi guest hii haikubaliki kupoteza jimbo kwa ajili yenu watu wachache. Hapana
  15. P

    Patrobas Katambi, Naomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini

    Njoo field mkuu, Acha kubwabwaja kwenye keyboard. Ama angalia bunge, kama kuna mbunge Msukuma Kigoma ama Mhaya Kasikazini
  16. P

    Patrobas Katambi, Naomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini

    Mkuu RwB, Mkuu nakuwekea ushahidi wa kuwa ndio mtu wa kwanza kuweka nia hapo Kahama. Baadae akaondoka kuja shy. Mkuu jifunze na siasa za sehemu zingine utapata ufahamu mkubwa wa kisiasa. Aksente. Always am perfect
  17. P

    Patrobas Katambi, Naomba uondoe nia yako ya kugombea ubunge Shinyanga Mjini

    Shinyanga? anyway u can't ignore the fact mkuu tetty
Back
Top Bottom