Wana hasira hawawezi kujibu hoja kwa vile wameshajiweka kwenye nafasi ya unquestionable and untouchable gvt.Humbleness kwenye kutafakari na kushughulikia mambo haipo tena ndio maana mliona mtu akimiminia mabomu ya machozi walemavu akaona ni sawa tu.
Mleta mada anayo point muhimu ila naona watu hawataki kufikiri kwa ajili ya mazoea ya kushangilia kila jambo.Labda walioisoma watuambie pia kwa yale magari ambayo kwa muda huu road licence zao bado ziko active and valid mpaka mwakani,Je itakapofika July 2017 wanakatwa road licence kwenye mafuta...
Alikijenga chama Moshi vijijini hadi kuwezesha kuing'oa CCM.Nadhani kabla ya kulaumu mngejaribu kutafuta upatikanaji viti maalum unafanyikaje,kufikiri ukabila,ukanda,udini n.k ni kujifunga kimawazo.
Tumia ubongo kufikiri mkuu acha mhemko.Ulitegemea waanze kwa kufukuza watu na mgambo wa jiji kama mlivyozoea!maana hata bajeti unajua bado na kama ujuavyo nyumba ilikuwa na vibaka hata meza za ofisi huenda wameuza?Najua una machungu kuipoteza Dar city kwa ukawa ila tambua hata simba anapowinda...
Punguza ujinga na kiherehere.Hivi kwa kutokuwa na meya wa jiji ulitegemea vikao na allocations za rasilimali zilizopo zifanyike vipi?Au unafikiri meya anatumia pesa zake mfukoni kutengeneza barabara!
Mleta mada anasumbuliwa na exposure na ubaguzi wa rangi ndio maana anasifia rangi nyingine bila facts.Rais au mtu yeyote kusocialize si tatizo.Mkewe alikuwa kwenye hiyo hafla halalamiki wewe wivu wa nini?
Tufahamishe zaidi katiba inaposema au kutaka waziri awe mbunge.Na uwaziri hukoma pale mtu ana.pokua si munge. Inakuwaje waziri aendelee kuwa waziri wakati bunge limevunjwa?
Kimsingi propaganda ni nyingi sana wakati huu.Hizi picha zimeungwa.Sakafu alipo Baregu na hiyo alipo Msigwa na picha ya Lowasa ni tofauti.Pili bega la kulia la Salimu Mwalimu limekatwa vilevile bega la Lowassa limekatwa kudhihirisha kipande cha picha ya Lowasa kimeingizwa.
Mbona kaanza kukimbia public appearings kama mdahalo?Anyway Muda utasema.Yeye ni aspirants kama wengine ila kama nchi tulipofikia tungehitaji mtu mwenye strength physically,mentally and emotionally zaidi.
Umenena kweli.Hatuombei mtu kuumwa maana ni jambo linaloweza kumpata yeyote,ila kwa hili huyu mzee wapambe wake wamshauri.Hands movement ni moja ya body languages ambayo unapojaribu kuizuia ni rahisi watu kutambua.Kwenye mkutano na waandishi kuna points sensitive alikuwa anaziongea lakini kama...
Kwa aliyefuatilia bunge la katiba lilivyoendeshwa hawezi kufikiri kama Mkandara.Ndugu yetu ulikuwa jela gani ukashindwa kuona na kupata uhalisia wa kilichotokea?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.