Search results

  1. shamika

    Community health ni shimo la tewa kumbe

    Nimeamin hayo baada ya kukaa muda mrefu bila kuona ajira zake hatimaye n wahudumu WA afya 15 tu walio ajiliwa na haijulikani wamepatikanaje mh kumbe undugunization na kujuanization bado kupo imekula kwetu makapuku aka tusojulikana
  2. shamika

    Tuna mgogoro wa ardhi na mhandisi idara ya maji

    Sasa katika mgogor huu imefikia hatua ananitamkia mbele ya uongoz wa baraza la kata kuwa nanukuu "utakufa vibaya juu ya eneo hili " mwisho wa kunukuu. Je msaada wa kisheria nikamfungulie kesi au tatizo ninaloliona ni kuwa mashahidi wanaweza kunigeuga kwani ni watu wake. Nifanyeje?
  3. shamika

    Ushauri juu ya hili wataalam wa ardhi

    Bibi aliuza shamba la ekar 6 baadae mnunuzi akajimilikish shama lote tulipo kuja wajuaji tukagundua bibi kaingzwa choo cha kike sasa tumefungua kes balaza la ardhi mtuhumiwa anadai apimiw kwa vipimo vyake ambavyo kwa ekari anadai ni mita 70 kwa 70 ambapo itakuwa ekar ni SWA na mita za mraba elfu...
  4. shamika

    Watainiwa WA CHWs 2015/2017 tukutane hapa

    Ili tupeane update za hii koz yet changamoto ya ajira zake na kadhalka
  5. shamika

    Msaada jamani, hivi utaratibu wa kuunganisha vyeti kwa marisita bado upo?

    Mfano wake mie hapa kwa mala ya kwanza 2012 nilimaliza na kupata four ya point 29 Kama ifuatavyo. Civic D Geog D Phyc D Chem D Biolog D Kiswa. D History F Englis F Mathe F Mara ya pili 2014 nkarudia rena na kupata GPA ya 1.4 Kama ifuatavyo Civic E Geog E Phyc E Histor D Chem...
  6. shamika

    Msaada na ushauri kutoka kwenu madaktari juu ya hili

    Mimi huwa nikiumia sana basi nyama inakua pare nilipoumia yaan hii hali yanitesa sana inaniaribia mwonekano WA mwili wangu kitalamu hivi vinyama wana viita kiloidi sasa nifanyeje maana nilitakaga kwenda kufanya upasuaji watu wakanambia ndiyo vitakuja kukua zaidi je nifanyaje
  7. shamika

    Msaada: Shamba hili lina hekari ngapi?

    Nilipima shamba kwa kutumia mita kamba na kupata kama ifuatavyo,, Urefu wa shamba 210m Upana wa shamba 190m Je kwa vipimo hivi ni sawa na hekari ngapi za eneo Natanguliza shukrani.
  8. shamika

    Msaada wakuu namna ya kutumia GPS kkwa calculation ya eneo

    Msaada ndg nataka kutumia app hiyo nitayo ipakua katika cm yangu na namna ya kuitumia mfano hekari moja sawa na mita ngapi za mraba
  9. shamika

    Kwa wale mabwana misitu ushaur wenu jaman

    Nnashamba pwani hekari 2 nataka kulima pine plant (coniferophyta plant) kwa ajir ya uvunaji wa mbao je vipi hali ya hewa ya pwani(mkulanga kijiji cha jaribu)
Back
Top Bottom