Search results

  1. Oii

    Kenya 2022 Mdahalo: Raila amkimbia Ruto

    Na bado utamchagua odinga
  2. Oii

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hizo taarifa zote za loss umezipata toka kwa media za mabwana zenu, as if huwa wanareport ukweli. Special operation gani ya kuondoa serikali na jeshi lake pasipo small scale war. Na unategemea fair journal from their enemies. Sikiliza mzee, wababe wote wa duniani huwa na muda wao wa kutamba na...
  3. Oii

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Tambua Ukraine hayupo mwenyewe pia. Kuna nato na USA. Pia tambua kwa Russia iyo sio vita. Ni special operation tu ya kuondoa vibaraka na kuacha infrastructures na maisha kwa ujumla, intact. Sema ndio hivo collateral damages lazima zitokee. Hao ni watoto wa Russia. He is just taking it easy on...
  4. Oii

    Gazeti la The Citizen lahoji nani aliishauri Serikali kujenga SGR wakati wataalamu wanasema italeta hasara?

    Kwa iyo malighafi na mali za kusafirisha bongo hakunazo. Si bure ww ndio cheti feki
  5. Oii

    Mombasa hadi Arusha barabara sasa safiiii - Arusha-Holili-Taveta-Voi transit corridor

    Woi. Road inatumika since 2018. Achana na iyo maneno ya ukabila unaambiwa na mwehu mk254. Hakuna ukabila huku, upo huko kwenu. We are far away from it.
  6. Oii

    Mombasa hadi Arusha barabara sasa safiiii - Arusha-Holili-Taveta-Voi transit corridor

    Achana na wehu wa Tz, mm iyo ndio road napita nikitokea moshi au on my way to moshi since 2018/2019 ilipokamilika. Sasa sijui anamaanisha nn ilipigwa pini na jpm.
  7. Oii

    Idadi ya vifo kutokana na ghasia za kikabila Sudan imefikia 65

    Walichochea tribal clashes South Sudan. Yamewarudia sasa
  8. Oii

    Nimepita hapa BP hii fly over siyo ya mchezo, huyu Mwamba Magufuli Mungu wa mbinguni amrehemu!

    Haters wa magufuli mnareason emotionally, huo ndio ukweli. Njemba imekaa madarakani kwa miaka mi5 tu. Weka kichwani iyo fact
  9. Oii

    Nimepita hapa BP hii fly over siyo ya mchezo, huyu Mwamba Magufuli Mungu wa mbinguni amrehemu!

    Mtateseka sana na kivuli chake, hadi mtapokufa. Eti mchawi wa chato, alikuwangia? Wivu tu unawajaa jiwe likisifiwa, na bado. Ni miaka mi 5 tu alikuwa madarakani. Linganisha na kumi ya hao ulowataja. Na usicompe barabara tu. Vituo vya afya etc
  10. Oii

    Madhara niliyoyapata baada ya kutumia vumbi la Kongo

    [emoji1][emoji16] We sister bhana, we unapenda sana chini
  11. Oii

    Tanzania haishikiki tena katika utalii, yaipita Kenya kwa mbali

    Si ni bora umaskini anaeshiba kuliko maskini mwenye njaa
  12. Oii

    Hili la JWTZ kumiliki maeneo ya mipakani ndilo, KDF ilipaswa kuja kujifunza

    From the video huh. We endelea kujidanganya hapo kariobangi
  13. Oii

    Hili la JWTZ kumiliki maeneo ya mipakani ndilo, KDF ilipaswa kuja kujifunza

    Hapo Kenya wanawachezea mkuu, siwaombeagi mabaya, nina relatives huko. Ila hilo tukio la kupiga lecture basi for hours, ni la kibabe sana mzee. Msilichukulie poa. Those are calm evolved matured and calculated terrorists. Msije relax mkijua problem's solved. The problem might be quadrapling
  14. Oii

    Kama ulikuwa hujui maana ya Sanctions basi waulize Warusi

    Emb kaa kimya tu jamaa. Wao jamaa zako walipoleta chokochoko na kuvunja agreements zilizopita hawakukurupuka. Ila Russia ndio wamekurupuka. Hivi unajua hata chanzo ya yote haya au unabwatuka tu
  15. Oii

    Yule Dada Mkenya aliyefanyiwa figusifugusi asiwe Bosi wa Vodacom Tanzania, kala shavu MTN Uganda

    Wako vizuri kuzidi Tz? Come again. Wako vizuri kwenye nn
  16. Oii

    Mkenya aliyekataliwa na Watanzania kisa majungu yao, aukwaa Ukurungenzi Uganda

    Nyenyenyee. More developed with highest unemployment and starving citizens. Wakenya mnateseka sana na Tz. Tumemkataa, period, kelele kelele hizi hazisaidii kitu. Akwende UG. You shud move on. .
  17. Oii

    Majina ya Wakenya

    Wa kibosho hao. Mboroo. Jina noma.
Back
Top Bottom