Search results

  1. Braza POPO

    Fahamu mambo ma 3 Kabla ya kuprint mifuko ya kuweka unga

    Katika kuhakikisha kazi yako inakuwa safi na nadhifu kabisa. #watusmartpackaging tunajuza leo mambo muhimu kabla ya kuchapisha mifuko toka kwetu au sehemu nyingine. 1. Artwork /picha Kabla ya kuchapisha mifuko ya kuwekea unga ile ya viroba au ya salfeti ni muhimu kuwa na mchoro au picha ambayo...
  2. Braza POPO

    Muimbaji Nelson Manzi wa Ambassadors of Christ na mke wake wamepata mtoto wa kike

    Muimbaji wa muda mrefu wa kwaya ya Ambassadors of Christ, Mr. Nelson Manzi pamoja na mke wake Eunice wamepata mtoto wa kike, taarifa toka kwa ndugu wa karibu wa familia hiyo ametupa habari. Pongezi kwa wawili hawa na Mungu awape hekima kumlea mtoto wenu... Habari na injilileo
  3. Braza POPO

    Mtoto nilionana nae siku moja, kwa hili naweza kupiga verse?

    Katika maisha ya ujana wengi wamepitia kwenye kipindi tofauti tofauti, imetokea na mimi nkafahamiana na mtoto mkali kinoma, akiwa chuo tukachat fresh, alipomaliza akiwa mkoa mmoja fulani akaja mkoa nilipo mimi, siku hyo naonana nae dah.....mtoto msupu hatari, japo nilikuwa na demu lakin pale...
  4. Braza POPO

    Pata vifungashio vya mifuko aina ya salfeti yenye nembo yako

    Habari wana JF, wale wakulima na wadau wa sekta ya kilimo, nawakaribisha sana katika huduma ya kuprinti mifuko ya kuwekea mazao na vyakula vya kuku na wanyama, bei zetu ni nzuri na ubora wa rangi katika mifuko ni unajulikana kwa shuhuda za wateja wetu. Mashine yetu ni ya kisasa na unaweza...
Back
Top Bottom