Search results

  1. MamaEE

    Je, hivi vigari vidogo vya mizigo vinauzwa bei gani?

    Iko wapi? Na mm natafuta hizo gari na pande za huku udalali unatumaliza! Unakuta used muuzaji anataka 4-5m bila 4wd na 5-7 kuwa yenye 4wd mamba c... Au d.... Lakini madalali wanaanzia mil 8! Yard zinaanzia 8.5mil hadi 13Mil kutokana na upya na toleo lenyewe.
  2. MamaEE

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Uko vizuri! Kwangu ndio nimehmishia mifugo shambani kutoka nyumbani... Natamani kuwa namatunda, mboga etc in due time. Safi sans... Nikita panda Za huko nitatembelea shamba lako vile liko inspirational. Ubunifu pure!
  3. MamaEE

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Kuweni makini kidogo kwenye kuchanganya mbegu maana kama unataka chotara just for the sake of it or colors then you are fine ila kama focus ni features fulani like size, lean body mass, extra ribs, favor, care of their young etc lazima uhakikishe your interbreeding plan takes all the features...
  4. MamaEE

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Nimependa hiyo miembe nje ya banda. Ni kweli hii style inaruhusu Nguruwe to be in a somewhat natural environment. Loved to see iko implementable huku pia. Naona banda umelizungushia mabanzi tu usalama ukoje huko? Mm nafugia Arusha na hapo inakuwa ni kualika wezi tu.
  5. MamaEE

    Miche ya miti na matunda inauzwa

    Hiyo miche ni ya apples na avocado type gani? Utatutumia nje ya Njombe? Bei? Usafiri? Weka details tujipange? Na peaches or nectarines nitapata?
  6. MamaEE

    Pesa kwa wajasiriamali wa Kuku na Mahindi

    Nimeweka hizo link za Brac maana ukigonga hapo unapata maelezo kwa lugha ya taifa na form pia. Ni funding combination ya grant and mkopo wenye masharti nafuu. Ilitangazwa magazetini juzi J4 lama sikosei. Nimeiona kama fursa nzuri na japo sijarasmisha kampuni niliona huenda wadau wengine wa...
  7. MamaEE

    Pesa kwa wajasiriamali wa Kuku na Mahindi

    Akina Chasa, Mama Joe, Sayuni, SUDEKI na wengineo.... Fursa hii ni yenu hasa wenye makampuni rasmi katika value chain ya kuku na mahindi. Tangazo lilikuwa on the Guardian jana so here you go: http://tanzania.brac.net/images/announcement%20swahili.pdf Application iko hapa...
  8. MamaEE

    Mabadiliko Katika Soko la Ajira la Wadada wa Nyumbani

    Hili nalo neno.... Sikuwahi kuwaza kuimport house manager. Dada wangu kila alipoomba nyongeza nilimsikiliza na kazi pia anajitahidi. Lakini mara ya mwisho ameomba nikampa masharti akifulu tuongeze mf chakula kiwe mezani 7pm sharp, b/fast nayo 7am sharp etc akashindwa... Mara na robo, mara na...
  9. MamaEE

    Biashara ya kusafirisha matunda Ulaya

    What you said is probably true... Which is why also mentioned the fact quality of the products available at tge loxal market is nothingbto write home about. For one I love the Nova brand of azam ice cream. Perhaps only a very consious consumer can tell ni product ya azam. Isitoshe nimeiona...
  10. MamaEE

    Biashara ya kusafirisha matunda Ulaya

    Tatizo la Azam brand ni kukosa viwango vya kimataifa despite kuwa ISO9000 certified plants. Sioni kama kuuzia maduka ya wageni tu ni jambo la kujicunia saaaana. Mf: kahawa na green beans za Tz zilikuwa Tesco na Asda back in 2005. Kwangu hilo ni la kujivunia zaidi maana hayo maduka yanascrutinize...
  11. MamaEE

    Biashara ya kusafirisha matunda Ulaya

    Mkuu Chasha... Nilikutafuta kule kwenye thread yako ya maonyesho ya kilimo Kenya. Ulifanikiwa kwenda? Can you share anything toka huko...? Back to topic: matunda kama strawberries, grapes, apples za kusini, na mboga kama capsicum (hoho), green beans, baby corn, etc ndio nimeshuhudia yakilimwa...
  12. MamaEE

    Biashara ya kusafirisha matunda Ulaya

    Labda niseme pia naamini njia nzuri ya kujifunza viwango ni kwa kulima na hayo makampuni ambayo tayari yana soko la export. Hapo watakufundisha ubora wanaoutaka na jinsi ya wewe kuproduce/kulima at that level. In my opinion hapo risk ni ndogo wakati unajifunza full speed. Ukiwa tayari...
  13. MamaEE

    Biashara ya kusafirisha matunda Ulaya

    Wewe uko pande za wapi? Kama uko A-town kuna kampuni kama Serengeti veggies Ngaramtoni, nyingine iko Chekereni na Usa River wanaexport vitu tofauti including mboga na matunda. Pia zote zinalima kwa mikataba na wakulima wadogo ili kufit quotas perhaps na demand. Mwisho wa hadithi pita TAHA...
  14. MamaEE

    Biashara ya kusafirisha matunda Ulaya

    Naomba kusahihishwa kama mimi ndio sielewi... Hivi Bakheresa ana-export any genuine food product or processed product into the developed world? Ninachojua ni kwamba yeye amefocus on the bottom of the pyramid ie the cost driven market. Ndio maana anatununulia processed coconut cream Thai...
  15. MamaEE

    Commissioner General TRA na watu wako mnatutia aibu, mmekosa kazi hadi mnakagua risiti barabarani?

    Hiyo nayo kali... Kwa nini wasivizie madukani wadai hiyo EFD receipt kama mtu hana awapeleke dukani wakadeal na mwenye duka? Kwani dhamana ya kukusanya na kureport kodi tra kapewa muuzaji, mnunuzi au wote?
  16. MamaEE

    Mayai yamefurika Dar es salaam, Soko hakuna wafugaji ni Msiba

    Pdidy- wapi soko zuri la kitimoto? Niko Arusha huku wenye mabucha ya Mianzini wanatutesaje?! Kweli hii changamoto ni ya majority ya wakuli na wafugaji. Fuso - poleni mkuu. Chama cha wafuga kuku kipo/vipo. Sema kutafuta masoko haikawa priority. Kuna chama kimoja huku walivuta mikopo ya nguvu...
  17. MamaEE

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Possibly. Kwa uzoefu wangu red royale sprouting yake sio nzuri kama yale ya orange. Lakini hayo ya red ndio matamu zaidi. Mimi bado nasubiria mbegu 13 zifunguke na ni siku ya 15 leo. Pack ilisema 85% na kwetu kuna baridi so nazisubiria hadi nione hatima yake.
  18. MamaEE

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Wanashauri siku 3-5 depending na hai ya hewa jasa jjoto zinaanza kufunguka (sprouting) ndani ya muda huo.
  19. MamaEE

    USHAURI: Jinsi ya kuweza kuhifadhi pesa kutoka katika mshahara

    Unalipwaje? Je una malenho yoyote na haizo unazotaka kusave? Andika na ubandike malengo mahali unapoyaona kila siku. Mf, kama unataka kiwanja na nyumba, bandika picha ya dreamhouse yako. Kama alivyosema mwingine, fungua account ya akiba iliwezekana fanya direct deposit ya mshahara wako. Kusave...
  20. MamaEE

    Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimo ya Nairobi Kenya 29-5 october.

    Mkuu Chasa, maonyesho yalikuwaje? Nilitamani sana lakini majukumu yalinizuia this time. Naomba desa kama ulifanikiwa kwenda tafadhali.
Back
Top Bottom