Search results

  1. C.T.U

    Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

    Wenye vyeo vya mabegani huwa hawana shida shida inaaza kwa ma private na wenye vyeo vya mikononi tatizo sana
  2. C.T.U

    Kwanini vibopa wengi wanapenda logistic business?

    Umewasahau Dianarose, Lema wa kibaha
  3. C.T.U

    Ushauri wa Bure kwako Kijana wangu Paul Makonda

    Out of topic, naomba kuelimishwa Hivi ni sahihi kwa Makonda kwa nafasi yake kumuita OCD na kumpa maelekezo ?
  4. C.T.U

    Kama JWTZ halitowaomba Radhi Raia wasio na Hatia WALIOTESWA KINYAMA na MP wa Lugalo Juzi, nawashauri walishtaki Jeshi

    Sema nilichogundua humu wanaotetea hii ishu ni wajeda sema wale wajeda ambao vyeo viko kwenye mikono wale na ma private wenye vyeo kuanzia mabegani wamenyuti tu [emoji3]
  5. C.T.U

    Wahuni Jeshini Wadhibitiwe haraka, Wanajeshi wafundishwe nidhamu ya kuishi na raia

    Hii story ina mambo mengi sana nyuma ya pazia Inaweza kuwa exaggerated sana Kama ni kweli nashauri viongozi wakuu wa jeshi wakae na wananchi kawe kwa ajili ya ku solve hii ishu
  6. C.T.U

    Ninunue lori ya kichina 0 KM au Scania used from Saab Scania

    Shukrani sana Mkuu kwa hiyo ni focus sana sana na euro 3 si ndio eeeh
  7. C.T.U

    Ninunue lori ya kichina 0 KM au Scania used from Saab Scania

    Wanasema hizi howo N7 siti zimeboreshwa ila ngoja nitafuatilia zaodi
  8. C.T.U

    Ninunue lori ya kichina 0 KM au Scania used from Saab Scania

    Kwa hiyo kiongozi katika hili naomba ushauri wa best truck na best trailer..
  9. C.T.U

    Ninunue lori ya kichina 0 KM au Scania used from Saab Scania

    Bonge moja la comment.. shukrani sana mdau
  10. C.T.U

    Ninunue lori ya kichina 0 KM au Scania used from Saab Scania

    Hapana sio XT..ni zile za kawaida XT zimesimama brother..
  11. C.T.U

    Ninunue lori ya kichina 0 KM au Scania used from Saab Scania

    Hapana huko kwenye kilimo baki mwenyewe..[emoji1787]
  12. C.T.U

    Ninunue lori ya kichina 0 KM au Scania used from Saab Scania

    Mkuu karibu sana mawazo yako ni muhimu sana mkuu
  13. C.T.U

    Ninunue lori ya kichina 0 KM au Scania used from Saab Scania

    Hapana saab scania wana pre owned scania ambazo zimetumika nadhani ambazo huja nchini ambazo unapata mpaka kwa 150M sio p360 0 km hapana no used
  14. C.T.U

    Ninunue lori ya kichina 0 KM au Scania used from Saab Scania

    Habari natumaini wakongwe mko vizuri Nina mpango wa kuanzisha kampuni ya usafirishaji nikiwa na mpango wa kusafirisha mizigo kutoka nchini kwenda nchi jirani kwa maana DRC, Zambia, Burundi, Rwanda n.k (Transit) Katika kuuliza uliza nimekutana na mawazo makuu mawili ambayo yamekuwa yakinipa...
Back
Top Bottom