Search results

  1. I

    Yanga bana Eti Pacome, Aucho, Yao Hawapo Fit wasije Kuukosa Ubingwa wa NBC

    Sio Kukisa Penalty tuu! Yanga Wakisafiri na Aucho,Pacome na Yao, Wakisema wapo fit 80% tuu! Kwahiyo hawawezi kucheza! 1.Najiuliza utasafirije na Watu ambao ni Majeruhi? 2.Kwanini wasiwekwe kwenye reserve lists/Subsitute ili incase ikitokea Mikwaju ya Penalt waingie halafu wapige? Walufanya...
  2. I

    Chanzo ni Mkwaju wa Stephane Aziz Ki ila mzozo ni Goal Line Technology.

    Sio Kukosa Penalty tuu! Yanga Wakisafiri na Aucho,Pacome na Yao, Wakisema wapo fit 80% tuu! Kwahiyo hawawezi kucheza! 1.Najiuliza utasafirije na Watu ambao ni Majeruhi? 2.Kwanini wasiwekwe kwenye reserve lists/Subsitute ili incase ikitokea Mikwaju ya Penalt waingie halafu wapige? Walufanya...
  3. I

    Watanzania tususe kupanda mabasi ya Shabbiby wa Gairo

    Wewe unaonekana Una chuki binafsi! Na Nitawashiwi watu wasikuunge mkono… labda ufanye Yafuatayo 1.Ueleze njia mbadala alizozisema Shabiby ambazo nadhani ni zaidi ya Moja ili kutunisha Mfuko wa Bima ya Afya. Nadhani alisema Pia Wabunge wakatwe kiasi Fulani! Wewe unataka Wazazi wetu Babu zetu...
  4. I

    Yanga bana Eti Pacome, Aucho, Yao Hawapo Fit wasije Kuukosa Ubingwa wa NBC

    Habari wakuu, Kwa sababu hii Kutowapanga Aucho,Pacome,Yao Eti hawapo Fit 100% Kuwa wasijekuumia wakakosa Ubingwa na kuwatumia kwenye Ligi pamoja na Mechi ya Simba! Leo wanaweza Kupigwa Nyingi na Mamelodi Na Ubingwa wa NBC pia wakakosa! Hata kama wakija Kumfunga Simba!
  5. I

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Yes Hii nimesikia,Ingawa hii ni TVE ndani ya Dstv umegundua hilo? Kwahiyo TVE ndio itaonyesha Mpira??
  6. I

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Hii sina Uhakika! Mwchi zingekuwa hapa Bongo sawa TBC Ila zikiwa Zinachezwa Nje ya Tanzania? Nina Mashaka sanaa kama wana hiyo nafasi ya Kupewa!
  7. I

    FT: Al Ahly 2-0 Simba | CAF CL Sec: Leg | Cairo International Stadium | 05/04/2024 (Agg 3-0)

    Ni Chanel number ngapi itaonyesha Mechi ya Mamelody na Young Africans?
  8. I

    Je, mechi ya kesho ndani ya Loftus Versfeld tutegemee sura zile zile zilizocheza first leg?

    Hivi wakuu ni Channel gani Dstv chanel number ngapi itaonyesha CAF champions League?
  9. I

    FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Naomba Niulize Wadau,Kwenye Dstv ni chanel gani,Namba ngapi?Itaonyesha CAF champions League??? Mamelody Vs Young Africans?
  10. I

    Kwa majeruhi haya ya Wachezaji tegemezi, Mamelodi Sundowns anakuja kufanya Mauaji ya Kishalubela Dar kwa Mkapa

    Nliona kabisa hii match kuna kitu kipya ambacho si cha kawaida kwa hawa mbwas. Sijajua ni nani aliyewatonya mambo flani hawa mbwas. Ilikuwa tuwachape 1 bila game iishe hivyo. Lakini kuna kitu walikifanya bila kutushirikisha. Inawezekana kuna kiongozi mmoja ni Mkia mule ndani jana alipata nafasi...
  11. I

    FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

    Sisi Yangaa tune hukia sana Mnyama kushinda mechi hii dhidi ya Mashujaa basi tuu[emoji3526][emoji41][emoji30]
  12. I

    Mechi za CAF jukumu la ulinzi uwanjani nani anahusika? Simba ikanushe hizi tuhuma

    Naunga Mkono hoja na Ndio wanawa Pump Washitakia CAF ili Kumkomoa Mnyama! Wanaona Kama Mnyama Mwaka Huu atatoboa Robo!
  13. I

    Tetesi: Mganga wa Utopolo kiboko eti anapambana na kafara ili wapangiwe Asec

    Cc: Kuna Bwana ameanzisha nyuzi anajiita Muite huyu Jamaa kaandika Eti Simba Wanataka Kupangiwa Sijui Petro atletic Anahaha Kuiharibu simba Ili Yanga Apangiwe Asec! Ameapa Lazima Jangwani wapangiwe Asec halafu Simba apangiwe Mamelodi hili Amejihakikishia Kabisa lazima lifanyike Cc: Muite
  14. I

    Unadhani Wabunge wataacha kutibiwa Agha Khan kwa sababu ya Kitita cha NHIF?

    Hapana kaka… Hii ilikuwa zamani! Siku hizi Aga Khan wako juu zaidi! Wahindi kwenye Medical wako juu sanaaa na Makini kuliko sisi weusi! Wao Aga Khan wanaajiri wale wataalam kutoka Jordan,Pakistan,Nk kwa ujira mdogo kuja hapa bongo! Tatizo lingine nadhani la Mhimbiki ni Custumer care!
  15. I

    Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

    Naunga Mkono hoja Cc Muite
  16. I

    Je, ni kweli Yanga tunafanya hivi?

    Cc: Muite
  17. I

    Utabiri wa Droo Robo Fainali: Yanga vs Mamelodi; Simba vs Al Ahyl

    Naunga Mkono hoja[emoji736][emoji736][emoji736][emoji2957] Kuna Jitu linajiita Muite limeamzisha Uzi linajifanya lenyewe ni simba Eti Linaona Kuna Fitina! Yanga Kupangiwa Mamelodi
  18. I

    Karia anapambana ili Simba ipangiwe Petro de Luanda

    Kaka Mimi na wewe si Yanga??? Aaaa nimekumbuka kama tulivyoongea kuwafitinisha Simba! Tukassma Ujifanye wewe ni Simba! Usisahau Kuja Pale kijiweni Mkuu! Sisi yanga lazima Nassma Lazima tufike Nusu fainali kabla ya Simba Mwaka huu! Ili tuwazodoeee kuwa Wao simba wanaishia walipozoea Kuishia...
Back
Top Bottom