Yanga bana Eti Pacome, Aucho, Yao Hawapo Fit wasije Kuukosa Ubingwa wa NBC

ikigijo

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
1,822
1,875
Habari wakuu,

Kwa sababu hii Kutowapanga Aucho,Pacome,Yao Eti hawapo Fit 100% Kuwa wasijekuumia wakakosa Ubingwa na kuwatumia kwenye Ligi pamoja na Mechi ya Simba!

Leo wanaweza Kupigwa Nyingi na Mamelodi

Na Ubingwa wa NBC pia wakakosa! Hata kama wakija Kumfunga Simba!
 
Sio Kukisa Penalty tuu!
Yanga Wakisafiri na Aucho,Pacome na Yao,
Wakisema wapo fit 80% tuu!
Kwahiyo hawawezi kucheza!
1.Najiuliza utasafirije na Watu ambao ni Majeruhi?
2.Kwanini wasiwekwe kwenye reserve lists/Subsitute ili incase ikitokea Mikwaju ya Penalt waingie halafu wapige?
Walufanya Hesabu vibaya mwisho nawakaumu sana Yanga kutowachezesha m/Kuwaweka hata kwenye benchi la Akiba incase,Pacome,Aucho na Yao wangeweza hata kuingia kupiga Penalty incase wanafika hatua ya penalty!
Eti hawapo fit 100%. Eti wapo 80%Fit,
Sasa kama wangekuwa kwenye Akiba wangeweza kuingia kupiga penalties!
 
Back
Top Bottom