Search results

  1. manzuki

    MUNGU NI KIMBILIO LANGU

    nakushukru bwana kwa yale yote uliyonitendea mwaka 2017 asante kunifikisha 2018 nikiwa na afya njema pamoja na familia yangu sina cha kukutolea zaidi ya kusema adante mungu kwa rehema zako ulizozionesha katika kazi zangu zote nilizofanya mwaka 2017 naomba baraka zako ziendelee unipe hekima na...
  2. manzuki

    Kuna maisha baada ya siasa

    Kwanza kabisa natoa pongezi za dhati katika Serikali ya awamu ya tano inayofanya kazi kwa uzalendo mkubwa uliotukuka wa kuwahudumia wananchi katika masuala mbalimbali ya maendeleo kama maji, elimu bure, kukomesha uzembe kazini , kudhibiti rasilimali za taifa, vyeti feki pamoja na watumishi hewa...
  3. manzuki

    Pamoja na Rais Magufuli kusisitiza kuhusu risiti za EFD, baadhi ya wafanyabiashara Shinyanga hawatoi

    Habari wakuu, Napenda kumpongeza mheshimiwa Rais kwa kazi nzuri anayoifanya katika taifa hili,najua walio wengi si wote watampongeza katika kazi hii ya kuionyosha nchi ambayo ilikuwa imegubikwa na wapiga dili ambao waliona taifa hili kama la kwao na hata hivyo si wote wangempongeza lazima...
Back
Top Bottom