Search results

  1. Guantanamo Sobibor

    Naombeni aina ya adhabu kali za kumpa Mtoto Mtukutu baada ya viboko kumfanya awe sugu kabisa

    Liverpool amepata matokeo, kwa hisani ya ushindi wa Liverpool msamehe dogo.
  2. Guantanamo Sobibor

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Pogba aliitwa kirusi kaondoka, sasa hivi kirusi ni Ronaldo nae akiondoka kirusi atakuwa mwengine.
  3. Guantanamo Sobibor

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ndoto za Ali Nacha
  4. Guantanamo Sobibor

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Muhimu kujipa matumaini unafanya jambo sahihi
  5. Guantanamo Sobibor

    Fainali ya ASFC | Yanga SC 3 (4) - 3 (1) Coastal Union | Uwanja wa Sheikh Amri Abeid | Yanga BINGWA

    Hii huwa inatokea sana lakini ikiwa ni Kariakoo derby sio kila game ambayo Simba au Yanga wanacheza na timu yeyote.
  6. Guantanamo Sobibor

    Mwanamke anapokuomba “ usimuache”

    Umeandika kama mtu ambae ndiyo anayaanza mapenzi yale ya ki teenager
  7. Guantanamo Sobibor

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wewe Liverkuku pumzika ulikuwa unasumbua tu mahakama jana watu wamekunyoa. Fainali yenyewe umepita kwenye mgongo wa Inter Milan, Benfica na Villarreal hizo si timu za kucheza Europa.
  8. Guantanamo Sobibor

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wenzio wabovu wameweza kupata magoli walipocheza na Madrid. Wewe mzima vipi ukashindwa? Ukiliwa ushaliwa tu hakuna kuliwa kwa tabu wala kwa wepesi.
  9. Guantanamo Sobibor

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Tatizo lilianza pale Liverkuku mlipodhani kwamba PSG, Chelsea na Man City wote wabovu😂
  10. Guantanamo Sobibor

    NBC Premier League|Biashara United 1- 1 Young Africans|CCM Kirumba Stadium|Kick Off:16:00

    Mayele hata hajamaliza kutetema watu wamerudisha goli
  11. Guantanamo Sobibor

    NBC Premier League|Biashara United 1- 1 Young Africans|CCM Kirumba Stadium|Kick Off:16:00

    Huyu Chiko Ushindi pesa imepotea hapa hamna mchezaji humu
  12. Guantanamo Sobibor

    FT: Police Tanzania FC 0-0 Simba Sports Club | NBC league

    Simba leo rasmi wametupa taulo na kukubali yaishe katika mbio za ubingwa
  13. Guantanamo Sobibor

    Geita Gold Fc 0-1 Yanga Sc | NBC PL | CCM Kirumba

    Haihitaji uwe mwananchi kuliona hili hata Simba alipokuwa kwenye ubora sote tulikuwa tunaona kabisa kuwa Simba anachukuwa Ubingwa kweupe basi tu ubishi wa hapa na pale haukosekani.
  14. Guantanamo Sobibor

    Geita Gold Fc 0-1 Yanga Sc | NBC PL | CCM Kirumba

    Mwaka wa Yanga huu wanastahili hata wasipocheza vizuri wanapata matokeo hata wanapowakosa wachezaji muhimu wanapata matokeo ndivyo timu zinavyochukuwa ubingwa hivyo hizi story zengine tumezizoea kwenye soka letu.
Back
Top Bottom