Search results

  1. F

    The NWO is up and ready!

    Kiongozi sidhani kama umeelewa point yangu. Naomba usome tena angalia msisitizo niliotoa kwa nchi zinazozalisha hiyo chanjo ambazo hazikai meza moja na western countries.That is my point
  2. F

    The NWO is up and ready!

    Kiongozi hiyo habari siyo ya kweli.Mimi nipo karibu sana na Canada na nina jamaa zangu wengi tu Canada.Kuna wafanyakazi wenzangu wanafanya kazi remotely from canada na tunaongea nao kila siku. Na hicho ulichobandika hapo hakina juu wala chini. Kiongozi hebu fikiria hii kitu kwa akili ya kawaida...
  3. F

    Tanzania yadhibiti mfumuko wa bei

    Point muhimu ni hiyo ya mwisho hapo,acha blah blah zako.Unapoweka inflation tuambie basi kama income imepanda na kama imepanda au imeshuka. Uweke uhusiano wa income na inflation.
  4. F

    Huu ni mwaka wa kusafiri sana kuifaidi dunia

    Pamoja kiongozi
  5. F

    Huu ni mwaka wa kusafiri sana kuifaidi dunia

    Kiongozi hapo juu umemlaumu mdau kwa kutumia lugha isiyo ya kistaarabu.Hapa wewe unaita binadamu wenzio "mijitu" nilidhani wewe unayekosoa watumia lugha isiyioya kistaarabu,utakuwa mfano lakini naona kama sivyo.
  6. F

    The NWO is up and ready!

    Kiongozi ni mambo ninayoyafahamu toka zamani mnoo,nayafahamu kabla ya 5G rollout.
  7. F

    The NWO is up and ready!

    Mkuu umesoma content lakini ? Hiyo ni kitu ilikuwa inajulikana tangu zamani sana.Angalia ni 5G band gani na maeneo gani ambayo wameahirisha kuanza kutumia na kwa nini wamefanya hivyo.
  8. F

    The NWO is up and ready!

    Mkuu mimi nipo huku USA miaka mingi mno,vyakula kukosekana super market ni stori za vijiweni tu,Biden kashinda vizuri tu ndo maana hata republican walivyofanya auditing mfano Arizona hawakukuta wizi wowote wa kura.Mkuu ni vyema twende na facts kuliko conspiracy theories. Kama unasema Biden ana...
  9. F

    The NWO is up and ready!

    Lakini kiongozi kwenye ile ID yako nyingine kuna mengi sana ulisema kuhusu Biden akichuka madaraka,mbona hatuyaoni ? Wewe ulitarajia na kutoa links kadhaa kuwa Trump ataendelea kuwa president imekuwaje ?
  10. F

    Hand dryer zinauzwa

    Pamoja
  11. F

    Hand dryer zinauzwa

    Mkuu sio kitu cha ku convert. Kupata watts inabidi utupatie Voltage na Current na wala sio Voltage peke yake Mkuu nashukuru umeona mapungufu ya jibu lako ingawa mteja aliyekuuliza swali la watts ngapi hujamjibu.Anyways nilikuwa najaribu kumsaidia mteja aliyekuuliza swali apate jibu stahiki.Barikiwa
  12. F

    Hand dryer zinauzwa

    Mkuu sio kitu cha ku convert. Kupata watts inabidi utupatie Voltage na Current na wala sio Voltage peke yake
  13. F

    The NWO is up and ready!

    Kiongozi niliondoka Tanzania tangu 2001, nipo USA, kuja huko huwa ni likizo tu.Hapo unaposema ni mfumo tofauti kabisa na 1G-4G naona kuna ukakasi haswa kwa 4G. Tofauti ipo lakini low band ya 5G inatumia inatumia similar frequency na 4G ambayo ni 600-900 MHz. Na pia kwa huku nilipo...
  14. F

    The NWO is up and ready!

    Kiongozi mbona huku nilipo 5G ilishawashwa tangu mwaka jana nadhani na sijaona tofauti yoyote na nipo na waliocjanjwa wengi tu? Kama kuna nisichoelewa naomba unieleweshe
  15. F

    Kwanini mpaka sasa sipati ukimwi?

    Kiongozi hapo umeonyesha kabisa kuwa muathirika anatumia dawa kwa hiyo hapo nadhani wewe kiongozi elimu ya huu ugonjwa kuna sehemu hujaielewa.Kinashokukinga wewe kutopata ugonjwa ni mke wako kutumia dawa kikamilifu. Sikushauri ufanye hili ila unaweza ku test zali kwa kumwambia aache kutumia dawa...
  16. F

    Bimmer na Landcruiser V8

    Wewe hukuwa umegenaralize yote hato hayondo maana hata ulipojibu hukuwa umezingatia hayo.Sasa ndo akili imekurudia key board warrior
  17. F

    Bimmer na Landcruiser V8

    Kiongozi niliandika kabla sijapitia zote,nimerudi huko nikaona. Tupo pamoja kiongozi.
  18. F

    Bimmer na Landcruiser V8

    Caterham ni 2 litre inline 4 ford engine,GTR ni 3.5 litre V6,na porche nayo ni inline 3 litre inline six.Hizo engine zote ni ndogo kuliko hiyo v8 yako.
  19. F

    Bimmer na Landcruiser V8

    Caterham 620R,Porsche 911 turbo S,Nissan GTR
  20. F

    Bimmer na Landcruiser V8

    Kiongozi naomba nichangie kidogo hapo.Gari za mjapani zinazoishia 180kmp ni zile zilitengenezwa maalum kwa domestic market(Japan) ndo ndio ambazo huko nyumbani wananunua kama used.Lakini ambazo Japan wana export masoko ya nje kama USA,European uninon countries zinakanyanga mpaka 260kph au 160mph.
Back
Top Bottom