Search results

  1. Alonso14

    Endapo CHADEMA itakufa, haya ndio yatalikumba Taifa...

    Amani iwe nanyi wakuuu nipo hapa kuelezea mambo kadhaa ninayoyaona mbeleni endapo CDM itakufa au kutoweka kutokana na izi njama chafu za CCM 1.UKANDAMIZAJI WA HAKI ZA BINADAMU- hiki ndyo kitu kitachotokea baada ya upinzani kukosa nguvu kwa sababu wanyonge watakosa mtetezi 2.UPITISHWAJI WA...
  2. Alonso14

    Kama ni kweli wapinzani wananunuliwa basi tuna Rais fisadi

    Amani iwe nanyi wakuu Napenda niende moja kwa moja kwenye mada siku za karibuni hapa nchini kumetokea wimbi la wanasiasa wa upinzani kujiunga chama tawala kwa kigezo cha kumuunga mkono raisi. Lakn kwa taarifa za chini chini zinasema kuwa hao wapinzani wananunuliwa na chama tawala. Na...
  3. Alonso14

    MSODOKI ZOMBIE MWENYE SURA NZURI

    ............sio kama na act / No nipo really/ Japo msodoki mdogo ila nauwezo wa ku fail/ ............................ Long time ago nilizimikaga na Sepetu wema/ Kisa skendo zaagazet moyo wangu ukamtema/ ........... Moyo nikauweka bondi kwa numbisa mwanaharakati Ila wote tuna moka hatutodumu...
  4. Alonso14

    GANJA GANJANI

    Safi safi wadau njooni msivunge tunyonge dude
  5. Alonso14

    Biko +3 mzuka

    Bora ukose pesa lakini umiliki mwanamke mwenye chura aina hii hapo
  6. Alonso14

    Special kwa waliowahi kufukuzwa au kunusurika kufukuzwa shule

    Baada ya kukaa na kumbuka maisha ya Shule na ugumu wake naomba kila mwana JF aje aseme njia alivyofukuzwa au alivyonusulika kufukuzwa Shule Mimi binafsi nikikumbwa na msala kwa kusingiziwa kuvunja office ya decline master na kuiba simu na vitabu tulikuwa kma 8 iv kwenye huu msala aisee hili...
  7. Alonso14

    List ya wanawake warembo JF

    Baada ya kupotea kidgo na kukuta kuna ka mtindo ka kutoa list sasa nmeamua kuja na list ya wanawake wenye mvuto humu ndani Ambao kila mwanaume anatamani kuwa nao hawa wafuatao ni warembo haswa hii ni kutona na research niliyoifanya na pia wanashobokewa sana. 1.Girl next-door .ila ni jasusi...
  8. Alonso14

    Natafuta rafiki wa kike

    Natumain mpo wazima ndugu na jamaa kama kichwa cha hii topic kinavyojieleza hapo juu Mm ni kijana wa kiume natafuta rafiki wa kike kwajiri ya kubadilishana mawazo Kwa yeyeto ataevutiwa na hili andiko naomba tukutane PM japo kuwa ni ngumu kupata kutokana na uringaji wa wanawake wa humu lakn...
Back
Top Bottom