Search results

  1. K

    Happy New Year JF

    Ubwabwa wa kawaida utapatikana, ila siyo ule wa rasmi.
  2. K

    Happy New Year JF

    Heri ya Mwaka Kwako sana! Uwe wa mafanikio kwako na kwa wapendwa wako wote.
  3. K

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Mfikishie pole yangu, mwambie ni zamu yetu sasa.
  4. K

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Najua baada ya Magu kuondoka atakuwa amefulia.
  5. K

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Yuko wapi jamaa kwa sasa? NB: Naomba nitumie PM nina ujumbe wako.
  6. K

    NBA draft 2021 vipi?

    Ni kweli kabisa hata ukiangalia NBA sasa hivi utakuta wengi wakali kutoka nje ya USA. Mwaka huu top 5 kwenye MVP ilikuwa na watu 3 kutoka nje ya USA (Nikola Jokic, Joel Embiid na Giannis (Greek Freak). Defensive Player of the year ni Rudy Gobert, naye ni kutoka France.
  7. K

    NBA draft 2021 vipi?

    Changamoto ya college ni malipo, vijana hawalipwi hata shilingi, ila tunakoenda wataanza kuwalipa, mfano ni siku chache zilizopita wamepitisha makubaliano kwamba wachezaji wa college wanaruhisiwa kusaini endorsements, kitu hii haikuwepo
  8. K

    NBA draft 2021 vipi?

    Yes, wanacheza mwaka mzima. Ni kama LaMelo alivyoamua kwenda kucheza professional nje ya US na akawa drafted.
  9. K

    NBA draft 2021 vipi?

    Sasa hivi draft prospects wanapewa options za kuchagua either kubaki chuo au kujoin D League.
  10. K

    2021 NBA Playoffs special thread

    Maximum tenure kwa umri wake ni 2 years, maana anaenda kuwa na 38. Kwangu nafikiri ni bora akubali hiyo, sioni contender mwenye salary cap ya kumpa 20 per year.
  11. K

    2021 NBA Playoffs special thread

    Ana player option 1 year 44mil, akiamua ku opt-in means atabaki Suns labda waamue kumuuza. Tatizo la Lakers ni salary cap, the maximum they can offer ni around 10mil kwa mwaka.
  12. K

    2021 NBA Playoffs special thread

    Muda ndo huu, hii kazi iishe leo.
  13. K

    2021 NBA Playoffs special thread

    That is Chriss Paul man, he always disappears when it gets tough. I will be happy if Giannis takes it home.
  14. K

    2021 NBA Playoffs special thread

    What happens when you finally play a team with no major injuries. Bucks in 6.
  15. K

    2021 NBA Playoffs special thread

    1 game to go!
  16. K

    2021 NBA Playoffs special thread

    Bucks wakaze game 5, wakirudi home wamalize mchezo.
  17. K

    Mke wangu akiwa nami 'full kununa' ila tukiwa na rafiki zangu anatabasamu na kucheka sana

    Jaribu kumuuliza muhusika mwenyewe, nina uhakika anaweza kukupa jibu sahihi kabisa.
  18. K

    Taharuki gani imetokea uwanja wa ndege wa kimataifa JK?

    Mpigie umuulize vizuri, sisi hatuko huko.
  19. K

    2021 NBA Playoffs special thread

    Clippers hii game wanaweza kushinda, ila uwezekano wa kiwin series ni mgumu, ingawa chochote kinawezekana. Maana round zote mbili alipigwa kwanza 2 za mwanzo na akachomoa.
Back
Top Bottom