Search results

  1. Said Stuard Shily

    Ni nani huwa anawanywesha sumu 'wapigania haki' ndani ya CCM?

    Mbona kila siku Makonda Makonda kama sio tishio
  2. Said Stuard Shily

    Yalikuwa yanajisifu ni ya kimataifa. Yamepigwa ndani nje sasa yamejificha kwenye dhuluma waliiofanyiwa Yanga

    Mm ni mshabiki wa IHEFU lile goli la 5 tulilofungwa na Yanga halikuvuka mstari the ball didn't cross the line that is to say It's not over until it's over.
  3. Said Stuard Shily

    Kauli zitakazotamba kesho baada ya mechi na Yanga CCL

    Naona MASHABIKI wa Simba phawana muda mchafu wa kujibizana tangu lile sakata la MASHABIKI wa uto kusafirishwa kwenda Kwà Madiba,Yanga shindeni mechi yenu kwà kuwa mmekwapua hela mahali fulani.Simba ni wakiwa wañamtegemea Allah na si Mwanadamamu tena
  4. Said Stuard Shily

    GSM: Kila bao atakalolifunga Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns nitalinunia kwa Tsh. 100M

    Ww unajua mahali gani au wenye akili ni wawili tu
  5. Said Stuard Shily

    Simba SC mnalalamika nini Serikali kuipendelea Yanga SC wakati nanyi kutwa mnajipendekeza kwao?

    Hawa Chadema ya akina ya Akina Mbowe afadhali kulala nyumbani Kuliko kuwapa hawa jamaa
  6. Said Stuard Shily

    Msigwa: Ufafanuzi wa suala la Simba

    Fikira ndogo za MASHABIKI wa YANGA ndo tumefikia mahali tulipo
  7. Said Stuard Shily

    Ni Arusha tu ilikuwa inavuruga kukubalika kwa mwamba 2025 kuwa kama mgombea Mwenza wa Samia, hii ni Season 2, episode 1

    Mbona Arusha hata mabwege wapo hata Wazungu mabwege wapo sembuse hao wavaa marubega.
  8. Said Stuard Shily

    Baada ya teuzi mpya Makonda kapanda cheo au kashuka?

    Nimegundua wapiga porojo,Majizi. na. Mafisadi hujaadili watu smart,leo nyuzi nyingi zimeandikwa juu ya Mwanamapinduzi wa kweli MAKONDA.
  9. Said Stuard Shily

    Sioni sababu ya Mainoo kuwa overrated kiasi hiki na Man UTD

    Watu tuko busy kufikiria mechi yetu ya tarehe 29/2 ww unatuletea nyuzi za watoto tuliowazaa akina Cole na Mainoo brother please be serious
  10. Said Stuard Shily

    Je, Kwanini mechi ya Yanga na Mamelodi ni gumzo zaidi hapa Afrika?

    Kwamba hilo ní jasho lao kwà kuingia mara kwà mara robo fainali sio wale wanaochukuaga ubingwa kwahisani za akina Malinzi aliyeitangazia dunia kamwe SIMBA haiwezi kuchukua ubingwa yy akiwa Rais wa TFF
  11. Said Stuard Shily

    Je, Hayati Mkapa hakuwa na Chawa? Sioni wanaomkumbuka

    Kanda ya Ziwa hàwana Ukabila kama ile jamii ya akina Mbowe,Lema,Mnyika nk KANDA ya ziwa wanamchagua mtu kwà sifa zake na si kwà kabila lake niko Chato kwenye kumbukizi ya Shujaa MAGUFULI RIP Magufuli
  12. Said Stuard Shily

    Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

    Ameeleza Mengi! U7 Ameeleza Mengi ya kumsagia Hayati Magufuli kunguni,itachukua miaka 100 Tanzania kupata Rais bora kama Shujaa MAGUFULI niko chato kwenye kumbukizi ya huyu MWAMBA kuwahi kutokea kuiongoza Nchi kwà mafanikio Makubwa
Back
Top Bottom