Search results

  1. Lucky Star

    Ni wakati sahihi wa Baraza la Mitihani Taifa "NECTA" kubadili utaratibu wa adhabu zake kwa wizi wa Mitihani

    Habari wanabodi. Kuna jambo ambalo nimekuwa kwa muda mrefu limekuwa likigharimu mustakabali wa maishaya vijana wetu kutokana na adhabu zinazotolewa na Baraza la Mitihani Taifa NECTA kila mara yanapotangazwa matokeo. Suala hili siyo jingine bali ni kufutwa kwa matokeo ya shule nzima badala ya...
  2. Lucky Star

    Sina ugomvi na Clouds Media, lakini hili limekaaje wadau?

    Habari wanajamvi,poleni na majukumu na moja kwa moja naomba nijikite kwenye mada. Tangu mida nadhani saa 10.00 jioni kumekuwa na kipindi Clouds FM redio,mada iliyopo hewani ni masuala ya uaminifu kwenye mahusiano. Sina tatizo na mada,shida yangu ipo kwenye uendeshaji wa kipindi. Nadhani kuna...
  3. Lucky Star

    Ukweli kuhusu sarafu ya DIME iliyokuwa inatumika Marekani

    Poleni na majukumu wadau na wanajukwaa. Katika harakati za maisha, siku moja nimekutana na sarafu za DIME ambazo zilikuwa zinatumika katika Taifa la United States. Ni sarafu isiyokuwa na thamani kubwa hata mbele ya pesa zetu za Shillings. Kilichonifanya nije kwenu ni mambo yafuatayo. 1. Maneno...
  4. Lucky Star

    Tishio la utawala usio na ukomo ndani ya Afrika Mashariki

    Habarini ndugu wana jamvi? Poleni na majukumu, na kwa wale ambao siku ya leo si njema kwenu basi MUNGU azidi kuwafanyia wepesi. Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuja kuandika hapa. Hivi karibuni nimekutana na mtu mmoja ambaye ni mwanasiasa wa muda mrefu,hakuwahi kushika nafasi za...
  5. Lucky Star

    Tukumbushane marufuku zilizotolewa na Serikali au mamlaka zake 2017

    Habari za wanajamvi? Mwaka 2017 ndiyo huo unaelekea mwisho. Kama ilivyo kwa miaka mingine,mwaka huu umekuwa na matukio mbalimbali ya kuvutia,kufikirisha na hata nyakati ngumu pia. Hii ni katika nyanja zote za kisiasa na kijamii. Pamoja na hayo yote,kumekuwa na MARUFUKU kadhaa ambazo...
  6. Lucky Star

    Nguvu ya sauti ya mwanadamu na maisha yake

    Amani iwe kwenu wakuu. Poleni na majukumu ya kifamilia na yale ya kulitumikia taifa. Napenda kuzungumzia maisha ya mwanadamu yalivyo,SAUTI yake na uhusiano wa sauti yake kwa familia na jamii zetu. Binadamu huzaliwa akiwa hana uwezo wowote zaidi ya utambuzi wa mambo madogo madogo kama vile...
Back
Top Bottom