Search results

  1. Rashid ntafai

    SHERIA YA KURUDISHA SHAMBA LILILOUZWA

    Naombeni msaada kama kunauwezekano wa kurudisha Shamba lililouzwa.je kuna sheria itakayoniwezesha kurudisha shamba?
  2. Rashid ntafai

    Kinyozi mzuri wa saloon anahitajika

    Wanajamvi kinyozi mzuri wa berbar shop anahitajika maeneo ya kigamboni
  3. Rashid ntafai

    Nadaiwa kodi ya takataka kwenye kiofisi changu cha tigo pesa

    Wanajamvi leo mkusanya kodi amenidai kodi ya takataka kwenye kiofisi changu cha tigo pesa cha ajabu ofisi yangu haina takataka na wala sijawahi ona gari ya takataka ikipita...jamani au ni tapeli tyu ameniibia maana amekuja na mashine ya kielectronic akanilatia recipt
  4. Rashid ntafai

    Human resource management book

    Naomba kwa anaejua kitabu kizuri cha human resource management hr na mtunzi wake
Back
Top Bottom