Search results

  1. J

    CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

    vueni magwanda sasa mkishindwa kuvua magwanda, msituulize kuvua magamba , mmewaogopa madiwani na shibuda leo mlete utumbo wenu hapa? leteni hoja magwanda, acheni propoganda, tuambeni kwa nini mnakuwa wepesi wa kuropoka kuliko kuchukua hatua, maongo makubwa hamuwezi kutwaa nchi maupupu tupu. eti...
  2. J

    The Political Economy of the investment climate in Tanzania

    uliambiwa wapi kuwa jf ndiyo inayoruhusu nani awe rais...? acha upopo wewe au na wewe unataka uonekane umeanzisha thread?
  3. J

    CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

    msitetee ujinga rejia hua anakurupuka na kuweka matukio ya kamati kuu, msitetee ujinga wa viongozi hao kuropoka sana kuwa watawafukuza shibuda na madiwani, leo wamekaa na wamepima upepo wamegundua watajikaanga wenyewe ndio maana wamenyuti, nilisubiri nikijuahakuna kipya hao magwanda ni bure...
  4. J

    CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

    naomba ufafanuzi kuhusu posho walizozikataa wazee wa magwanda, mbona zinaendelea kuzama kwenye account zao tu na hatuoni kelele tena? cheza na wanafiki wewe, au kama hujui wanapokea posho kaa kimya! siku magamba watawalipua magwanda utatafuta chaka la kujificha
  5. J

    CHADEMA: Hatima ya Shibuda leo..

    kama hyo ilikua ilani ya cdm, kwa nini zito alikua anawakilisha kama hoja yake? akawapa kazi ngumu akina mbowe kutangaza kuwa ni mpango wa cdm sio ya mtu mmoja, naona sasa cdm wanazidiwa na power strugle endeeni kumalizana tu ccm hamitoi kwa style hii
  6. J

    Lissu amlima barua Shibuda

    siku ukiniona nakuja kuchukua kadi magwanda uniue she..zi kabisa.
  7. J

    Zitto: Sijengwi na Kikwete, najijenga mwenyewe

    wewe ni kabila gani, na viti maalum utagombea au utasubiri mbowe afanye mambo yake? mwanamke mwenzangu mjinga kama wewe ni aibu kabisa
  8. J

    Lissu amlima barua Shibuda

    1. Mzee Slaa anataka jimbo ili apate ahueni ya maisha na posho, hivyo mbowe atahakikisha wanamwondoa ili mzee slaa agombee. 2. Mbowe anajua huyu jamaa ni kikwazo sana kwa mwaka wa uchaguzi wa chama kwani na yeye anautaka au ataweza kushiriki kummaliza mbowe na mtandao wake. 3. Shibuda ni mbishi...
  9. J

    Zitto Kabwe, Kikwete na Rais wa Sudani ya Kusini

    kwani wewe mrema kipara..... huwezi kuishi bila majungu? jk anajenga zitto je unauhakika nausemalo?inamaana kiongozi wa nchi ni adui yenu kwa sababu ya makelel yenu? au ndio kazi yenu cdm kupigania madaraka tu, na mbona huyo mbowe hajarudisha gari na posho hawajaandikabarua ya kuzikataa, watu...
  10. J

    Elections 2010 Haya ya Dk Slaa kuchukua mikoba ni kweli?

    heheheheeeeeee huyo ndiye rais wenu eti anakiu ya posho na anaviza kajimbo kokote ajitose hahahahaaaaaaaaaa!!!!! na nyie vueni gamba tuone, madiwani na huyo shubuda
  11. J

    KWAKO JK a.k.a MJOMBA! SOMA USHAIRI HUU ILI TUONE UTAAMUA NINI!!!

    du!!!!! nyakarungu umenifanya niamini unaakili sana haya kaka endelea na harakati zako, ila samahani naweza kujua uko wapi sasa?
  12. J

    Barua: Zitto akataa posho za vikao

    kwa hiyo mbowe alitaka zitto aache cdm hili suala ili mbowe yeye aonekane ndiye kichwa safi zito kwa kuwazidi ujanja kumbe ulijua ni usanii tu ungefanyika kumbe hata gari hajarudisha? mbowe jibu harka hili jambo ninajua ID yako ongea haraka na watu watakushangaa sana upuuzi huu sio wa...
  13. J

    Ukiwa na stree fungua jf tu (ccm na cdm) mipashoni

    Ukiwa na stress ingia humu tu, utacheka mpaka upone hiyo stress, yaani ni mipasho tu, hahahahahaaaaaaaaaaaaa, kila hoja inayowekwa hata kama inadai majibu ya hoja, hutayaona, bali utakutana na matusi hahahaaahaaaa. Chadema na ccm mko fit sana kwa kutoleana matusi kumbe hili lipo wazi...
  14. J

    Wabunge hawa wa CHADEMA

    umeuliza swali zuri ila jitahidi kutumia maneno ya kiswahili unayoyajua tafdhali. hapo kwenye red, ni kisebusebu au umetohoa neno lako la kikabila chako?
  15. J

    Wabunge hawa wa CHADEMA

    Mbowe ana pesa bwana, anauza magari mazee ananunua mapya, hawezi kujisumbua na wapiga kura wake kwa sasa anajiandaa kuwa maarufu nchi nzima ili awazidi akina slaa na zitto.....eti amerudisha gari la serikali! jamaa anadhani watanzania bado watoto wa kuwafanyia usanii kama wa jk na mzee slaa...
  16. J

    Mbowe ndiye tatizo CHADEMA

    nyoka hupigwa mawe kabisa
  17. J

    Mbowe ndiye tatizo CHADEMA

    eti miss parliament/ Regia kwa hiyo regia wewe ni nani mpaka uwaamuru watu wahamie kule, kumbe upo humu kwa kazi kama mtumwa wa watu fulani , au unaposema fadhila kwa mbowe na slaa inamaana chama ni kampuni ya mtu, kwa hiyo kama wamekisaidia chama unataka hata wakiwa wanafanya ujinga waachwe tu...
Back
Top Bottom