Search results

  1. hassabubaba

    Anglo Gold ina nia ya kwenda arbitration

    True ni Yao si yetu.....wamesaini wenyewe
  2. hassabubaba

    Bei ya bajaj

    Kwa kifupi ni million 8 kutakua na chenji kama laki tatu hapo
  3. hassabubaba

    Kwanini wadada wengi wanatafuta wanaume wa kuzaa nae mtoto tuu?

    Ishu za kuoana ni kama ishu zingine tu nayo inamapungufu yake.....kama dem anaweza ku hustle it's better kuwa single.....na waume tumekua hatusomeki wengi bado tuna mifumo dume...mwanamke ataka kusikilizwa kudekezwa kuheshiwa nakupewa nafasi kuonyesha uwezo wake.....lakini sisi midume ukisha...
  4. hassabubaba

    Naimisi Tanzania ya miaka ya 70

    TANZANIA YENYE WAKOLONI NA ILE YA NYERERE NI BORA KULIKO HIZI ZA SASA
  5. hassabubaba

    Gazeti la Daily Mail yauita Uwanja wa Taifa Dsm kama "Nairobi City Stadium"

    Wanajua Africa kwani ni hao hao wanao tuibia na kushirikiana na viongozi wachafu kutusainisha mikataba yakuwafaidisha wao @victorie
  6. hassabubaba

    Gazeti la Daily Mail yauita Uwanja wa Taifa Dsm kama "Nairobi City Stadium"

    Waingereza wajeuri tu ....hiyo ndo kawaida ya wazungu dharau....kwani unazani kwao hamna google....wanajua kuwa wapo dar na dar siokijiji na wala si Nairobi.......
  7. hassabubaba

    Ni kweli kila msichana ni bikira?

    [emoji1006][emoji360][emoji705][emoji705][emoji705][emoji877]
Back
Top Bottom