Kiwanja kipo Arusha majengo juu kituo miambo kunja kushoto kama mita 50, kuna maji umeme na rum kama 2 (zinaeza kua office au etc.) available. Kinafaa matumizi ya Garage, packing or other company activities. eneo limetulia na usalama wa kutosha- geti kubwa & fence, choo kiko karibu na lami (50m)...

Kama n mkristo Omba tubu kwa ajili yako na waliokutangulia (usijione msafi) tubu katika "KILA" eneo la maisha yako.. Mpe Yesu maisha yako kama Bwana na kiongozi,mwokozi,Mfalme na rafiki wa maisha yako mpokee moyoni mwako kwa nia na kiu ya kumjua,kumtafuta kumtii kwa moyo wako wote. baada ya apo...
USHAURI; copy all the info uliyotoa chini ambatanisha na evidence zote kua umepitia ayo kila kitu kiwe clear na Org weka na namba za sim na bank Account omba msaada waliogiswa watatuma, Achana namengine na kutegemea watu sana, Weka evidence sema ukweli wote mwombe Mungu atagusa watu wake...
Plan kubwa ni kuweka longterms goals koz kuna saa nahisi kama ukikodisha mahal mwenye eneo au nyumba akiona mpunga unaoingiza... baada ya mkataba kuisha anaeza kukuamisha ata vunga baada ya mda ataliendeleza... sasa apo bora kukomaa kununua kila kitu na kumiliki... kuanzia apo ni kuvuna tu.. na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.