Search results

  1. R

    Philip Mangula vs Dr. Willibrod Slaa

    Wadau kama tuwajuavyo majembe hayo mawili wote wamepata kuwa na hadhi ya ukatibu mkuu wa chama ingawaje mpaka sasa dr. slaa bado ni katibu lakini katika utendaji wao hawa watu kila mtu ana mafanikio yake hasa historia zao za kutukuka sasa je kati ya hawa unafikiri ni yupi ana mvuto na uwezo...
  2. R

    Udini, ukabila na urangi ni silaha kuu ya kuangamiza ustawi wa afrika

    Tumekuwa tukiona jinsi viongozi wa kisiasa na kidini wakitumia vitu hivi hasa kufikia malengo yao ya kisiasa au kiuchumi lakini kwa kweli hivi vitu vinatumaliza sana waafrika hususan hapa kwetu TZ vitu hivi vimekuwa mtaji mkuu kwa watawala na wasio watawala kupandia kwenye mafanikio ya kisiasa...
  3. R

    Mwenye ma. Ya linguistics

    Anatafutwa mtu mwenye masters ya linguistics au english kwa ajili ya kuwa lecturer wa chuo cha jordan university college (constituent college of SAUT) morogoro tuma au peleka application yako pale mshahara ni mnono wahi sasa
Back
Top Bottom