Search results

  1. Erickford4

    Kafara la kukimbiza moto linavyoligharimu Taifa

    Kwa hyo unataka kutuaminisha kuwa nyerere alijua kuwa atakufa mwaka 1999?
  2. Erickford4

    Ukweli kuhusu Pyramids

    Kwenye storybook wanasema yalijengwa na watumwa enzi hizo na ujira wao ulikuwa pombe na chakula
  3. Erickford4

    Tochi za kuthibitisha noti halali

    Nunua simu ya bontel kitochi 20k utapata hicho kitochi
  4. Erickford4

    Jamani hili ni kweli?

    hujafanya hizo debate huko shuleni kwenu? Au bado hamjafikia topic hiyo? Hebu jaribu kumuuliza mwalimu wako atakupa jibu zuri.
  5. Erickford4

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Sitasahau siku dawiri wa kombania yetu alipokamatwa pori akiliwa uroda na afande.. Yan tulikula doso si la kitoto hatukulala usiku wote na asubuhi mbio kama kawaida... Tulikunja ngumi... Mapenzi ya nyoka.. Kutembea kibatabata nk yaani usiku kucha na kadada kenyewe kapo kamelala maana kalikuwa...
  6. Erickford4

    Watumiaj wakongwe wa smartphone: Mtandao ambao isipite siku hujachungulia

    1. Jamiiforum 2. Millard Ayo 3. Muungwana blog 4. Whatsapp
  7. Erickford4

    Morogoro: Kituo cha Polisi Kihonda Kingejengwa Karibu na Stesheni ya Mwendokasi Badala ya Youth Mission

    Kumbe mwendokasi imeshafika Moro? Kweli sisi wa mikoani tupo gizani
  8. Erickford4

    Hivi unajua kuwa kumuogopa mtu ni sawa na ibada ya sanamu?

    Kwani wewe yule Bwana akija ofisini kwako hutamtetemekea? Kwa hiyo sisi wote tunamwabudu sanamu wa Chattle?
  9. Erickford4

    Hivi unajua kwamba Ugali uliletwa na mabeberu Afrika? Ugali sio chakula asilia

    Hapo sijaelewa kitu fulani kuwa ugali hautuletei nguvu, ugali sio chakula kizuri au kuna tatizo chakula hiki kutokea ugaibuni?
  10. Erickford4

    Tigo naombeni ufafanuzi, kwenye hili mnakata hela?

    Reply hyo msg na neno ONDOA watakujibu umejitoa kwenye hiyo huduma.
  11. Erickford4

    Kwanini kuanzia Mwenge mpaka Bondeni hakuna kijiwe cha bodaboda?

    Nisamehe sana kama sijakureply mkuu, nilipewa ushauri mzuri nikaahidi kufanyia kazi nikaona niwe kimya ili uzi usiendelee kuwa active nipate muda wa kufanyia kazi ushauri niliopewa halafu nilete mrejesho.
  12. Erickford4

    Kwanini kuanzia Mwenge mpaka Bondeni hakuna kijiwe cha bodaboda?

    Nimekuja mbio nikadhani labda umekuta kuna watu kibao wamejaa halafu na maturubai yamefungwa hivyo hujui kama kuna harusi au msiba.. Kumbe unataka kuweka kijiwe cha bodaboda? Weka at your own risk!!
  13. Erickford4

    Zanzibar inachukua nafasi ya Kariakoo tena

    Mods bwana... Eti Magungulu 😀😁😂😂😂😂
  14. Erickford4

    Ni wakati sasa serikali kuipandisha hadhi Manispaa ya Morogoro

    Jitahidini kumshawishi jiwe mtasikia tu... Uwe jiji usiwe? Uweeeeeeee!! Basi jiji la watani wangu wapogolo
  15. Erickford4

    Nawezaje kurudishwa kazini baada ya kufukuzwa kazi?

    Asante mkuu kwa ushauri mzuri wa kujenga. Nitafatilia hatua zote kama nilivyo ambiwa na kuleta mrejesho.. Kuna walionishauri niende CWT nikalalamike je nitapata usaidizi?
Back
Top Bottom