Search results

  1. Daniel Mjema

    Tetesi: 2020 Mahakimu kuzuiwa ku - sign fomu za wapinzani, CCM kupita bila kupingwa nchi nzima

    Kwa mujibu wa sheria ya viapo (The Notaries Public and Commissioner for Oaths Act) inamtambua wakili kama mmoja wa watu wa kushuhudia viapo. Sasa kama huko Mbeya wakili alishuhudia na Tume ikakataa kiapo (kama hakina dosari nyingine za kisheria), mhusika angeweza kuchallenge huo uamuzi kwa...
  2. Daniel Mjema

    Jinsi Mkwawa alivyosalitiwa na mtu aliyemuamini

    Nimesoma hii taarifa pasipo kuchoka
  3. Daniel Mjema

    Wabunge kutoka Zanzibar watoka nje ya Bunge wakishinikiza Muungano ujadiliwe

    Mwon Wengine hatukuona Bunge maana haliko LIVE. Ungetusaidia tujue kiini cha kuombwa kwa muongozo kulitokana na mjadala gani kuhusu Zanzibar
  4. Daniel Mjema

    Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

    Kwanza pole sana kwa ugonjwa. Kwanza mtumaini Mungu kuwa ni muweza ya yote. Lakini la pili, hizo dawa ambazo umesema ni ghali sana ni shilingi ngapi?
  5. Daniel Mjema

    Baba Askofu Dickson Chilongani: Maaskofu wanaotoa matamko na kumuhukumu Rais, wajue nao watahukumiwa

    Usisahau pia kuwa viongozi wa dini kwa umoja wao waliomba kukutana na baba J tangu Septemba 2016 na hawajafanikiwa?
  6. Daniel Mjema

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Kuna post(s) ukizisoma unaweza kujiuliza huyo mtu anatumia nini kufikiri. Mimi nilifikiri tungejadili kwa kutizam contents za ujumbe, je ni valid? Kama sio valid, ukweli usemwe. Sio kuhamisha mjadala kwa kuingiza uchama. Je, walichokisema kina ukweli au uongo kiasi gani..
  7. Daniel Mjema

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Waraka umeshatolewa na umeshasambaa. Tutafakari maudhui yake kama yana mantiki. Kama huwa tunaomba watuombee, basi si vibaya pia tukasikiliza ushauri wao halafu tuone kama kuna cha kubeba au tuuache kama ulivyo.
  8. Daniel Mjema

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Kuna maandiko mengine ukiyasoma unashindwa kuelewa dhamira ya anayeleta andiko hilo. Hili andiko hata mwanafunzi wa darasa la saba hawezi jenga hoja ya aina hii
  9. Daniel Mjema

    Mliowahi kutapeliwa na kijana Kitomali wa Wazo, Dar nimemtia mbaroni

    Matapeli wa aina hii hupendeza sana kama taarifa zake zingeambatana picha yake. Inawesekana wengine hawamjui kwa jina hilo, ila wakiona picha ni rahisi kumtambua na kujitokeza kutoa ushahidi kituo cha polisi anachoshikiliwa. Ni wazo tu
  10. Daniel Mjema

    Dr. Salim ang'atuka, Rais Magufuli ampongeza kwa kuwa na nidhamu iliyotukuka

    Heshima ni kitu kidogo sana, lakini huyu mwenzetu alichokiandika humu na kumhusisha nacho Dk Salim kwa kweli ni utovu wa nidhamu uliopitiliza. Watanzania hatuna hulka ya aina hii.
  11. Daniel Mjema

    Mabomu yarindima Moshi ili kusafisha njia Lowassa apite

    Naona alitaka awe wa kwanza kuhabarisha umma. Katika uandishi wa habari tuna kitu kinaitwa News Values na hizi ni pamoja na truth na accuracy. Tukio linaweza kuwa la kweli lakini likawa taarifa zake ulizoziwasilisha kwa umma zikawa sio accurate. Leo sio Jumapili, pili eneo lililorushwa mabomu...
  12. Daniel Mjema

    Kilimanjaro: Kada wa CHADEMA atekwa na kuuawa kikatili

    Kada wa CHADEMA katika Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, Anitha Swai, ameuawa na watu wasiojulikana na maiti yake kuokotwa eneo la TPC, umbali wa takribani kilometa 5 toka Moshi mjini, huku gari lake likipatikana limetelekezwa eneo la Bomambuzi ========= Kada wa CHADEMA katika Jimbo la Hai...
  13. Daniel Mjema

    Picha: Mwigulu Nchemba zamani akiwa anachunga ng'ombe, huwezi amini

    Picha za rangi kwa Tz zililianza mwishoni mwa miaka ya 70 lkn nyingi zilioshewa nje ya nchi. Mitambo ya kuosha colored nafikiri miaka ya 80 na mashine zote zilikuwa Dar. Je, hiyo picha (kama ni ya Mwigulu kweli) ilipigwa mwaka gani?
  14. Daniel Mjema

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Binafsi ni mtumiaji wa hizo taxi kwa kweli gharama zao ziko chini na salama. Huwezi nishauri kamwe nitumie usafiri mwingine kwa kigezo cha kulinda ajira za ndani. Never. Uber wana customer care nzuri na ni waaminifu. Nilikuwa nikitoka Airport hapo Dar kwenda Sinza taxi za kawaida wanataka...
  15. Daniel Mjema

    Vodacom kukubali kutoa ushahidi dhidi ya Lema ni dharau kubwa kwa watanzania

    Ndugu zangu, Wafanyakazi wa kampuni za simu kutoa ushahidi mahakamani si jambo geni hata kidogo. Hoja ni aina gani ya ushahidi unaenda kutolewa? Mathalan, kama VODACOM wanaenda kutoa ushahidi nani ni mmiliki wa hiyo line(s) bado mtasema ni kutoa siri za mteja? Mpaka sasa hili jambo limejengwa...
  16. Daniel Mjema

    The Electronic and Postal Communications Act, 2010 ndiyo inatumika Vodacom kutoa taarifa mahakamani

    Ninachofahamu VODACOM au kampuni yoyote ya simu hairuhusiwi kutoa mawasiliano ya simu pasipo amri ya mahakama. Nafikiri itakuwa si sahihi kuilaumu Vodacom kwa sasa wakati wala hatujui aina ya ushahidi wanaokwenda kuutoa. Je kama wameitwa kuthibitisha usajili wa hiyo laini bado tutasema wametoa...
  17. Daniel Mjema

    Polisi yatoa tamko juu ya miili saba ya Ruvu na kupotea kwa Ben Saanane

    Jeshi la Polisi lilitakiwa lituambie kwa mara ya mwisho Ben Saanane alikuwa amevaaje na waweke picha yake ya sasa. Tukisema tunamtafuta pasipo Serikali ku release picha yake, mara ya mwisho alivaaje na mara ya mwisho alionekana wapi, nyumbani, ofisini au eneo gani. Taarifa hizi ni muhimu sana
  18. Daniel Mjema

    Polisi yatoa tamko juu ya miili saba ya Ruvu na kupotea kwa Ben Saanane

    Investigations into missing adults begin in the jurisdiction where the person was last seen. This is to ensure that the search begins in the nearest jurisdiction, which will also handle a criminal investigation if foul play is suspected. In missing adult cases, the police department is...
  19. Daniel Mjema

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Social media hazina tofauti na print and electronic media. Moja kati ya maadili ya uandishi wa habari ni kuto reveal source of your story hasa story zile ambazo mtoa habari ambaye amekupa habari in confidence. Kwa mwandishi mwenye maadili ya uandishi wa habari yuko tayari kufungwa lakini si...
  20. Daniel Mjema

    Pengine sababu ya kutumbuliwa DCI Diwani Athuman ni hii....

    Kuna hii taarifa imetoa sababu za kutumbuliwa kwa DCI
Back
Top Bottom