Search results

  1. ndugaseli

    Kweli wanaume wa Dar mnatia aibu

    Habari zenu wakuu? Mi sitaki kusema mengi naandka uzi huu nikiwa nimejaa na huzuni kutokana na kitendo kilichotokea. Ilikuwa majira ya saa 5 usiku wa Ijumaa kuamkia Jumamosi nilikuwa nasafiri naelekea Congo na rafiki yangu na gari za IT nikiwa kama dereva pamoja na rafiki yangu tuliamua...
  2. ndugaseli

    Msaada biashara ya matikiti maji

    Habari zenu wakuu, mimi ni kijana wa kiume ninaetaka kujikwamua kwenye janga la umaskini kupitia vimitaji vidogo lakini biashara ninayo ona itanifaa ni kuchukua matikiti bush kuyaleta town. Kwa yeyote anayejua au aliyewahi kufanya biashara hii anipe njia ya kupata masoko kiwepesi bila kupitia...
  3. ndugaseli

    Msaada juu ya maumivu ya kiuno

    habari ya sahv wananajamvi ? kama kichwa cha habari kinavyosema mimi ni kijana nasumbuliwa sana na maumivu ya kiuno mda mchache sana kinakuwa akiumi naomba mawazo yenu tafadhali wadau
Back
Top Bottom